Hatimaye tunakaribia mwisho wa hii tamthiliya ya mimba.
Sidhani kama kulikuwa na mimba yoyote.
Ila mazee, hebu fikiria hili...
Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.
Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.
Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?
Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.
Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.
Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.
Like, seriously? For real, for real?
Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.
Good grief....Jesus take the wheel!!!