Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

wema sio wa kumwamini yule, mwanamke hafai hata kidogo, huyo idris namuonea huruma sana
Binamu umesahau kipindi kile Idrissa anahojiwa na bongo five alishasemaga kwamba yuko tayari kufanya chochote ili mradi tu awe maarufu!!hatimae ametenda,umaarufu mavi ameupata
 
hizi mimba za kutangaza kwenye social media mhhh,watu cjui adabu zao wameweka wapi
 
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.

mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.

Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume

Hiyo mimba ilikuwepo kweli au zilikuwa kiki tu?
 
Hivi kwanini wasiende jela hawa viumbe kwa kusumbua bure wambea.!?

Hahahaa... Inasikitisha kwa kicheko.
 
hizi mimba za kutangaza kwenye social media mhhh,watu cjui adabu zao wameweka wapi

Hata huyo idrisa mwenyewe anataka aishi kama bado yupo kwenye nyumba ya big brother..anataka kila mtu amfuatilie..ameshindwa kutengeneza style ya maisha nje ya nyumba ya big brother..shida inaanzia hapo..
 
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
Mimba sio Pipi ya kudolishia mtaa mzima, kuifanyia matangazo na kuitumia kuwachapia wenzake.
Akome mashauzi!!!
 
kumbe hayo maneno yote ka-google?????? nkaanza kuamini kuwa kumbe idrissa yupo "smart upstairs" dah kweli bongo nyosso. hadi sentensi tunagoogle.
Kumbe usmart wa kichwanj unapimwa na lugha ya kiingereza!!
BASI WAINGEREZA WOTEEE WAPO SMART.
ACTUALLY ni 'magenius'!
 
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.

Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?

Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?

Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?

Aisee!!!
 
Hatimaye tunakaribia mwisho wa hii tamthiliya ya mimba.

Sidhani kama kulikuwa na mimba yoyote.

Ila mazee, hebu fikiria hili...

Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.

Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.

Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?

Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.

Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.

Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.

Like, seriously? For real, for real?

Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.

Good grief....Jesus take the wheel!!!
 
Back
Top Bottom