Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Jamaa na ujanja wote kaingizwa mjini,
Kitaa ukiwa na mipesa ya mchezo unadanganywa binti ana mimba yako, mipesa ikiisha unaambiwa mimba imechomoka alipobeba ndoo ya maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa na ujanja wote kaingizwa mjini,
Kitaa ukiwa na mipesa ya mchezo unadanganywa binti ana mimba yako, mipesa ikiisha unaambiwa mimba imechomoka alipobeba ndoo ya maji.
Wema hata abadilike vipi? itakuwa vigumu akiwa Tanzania,she is carrying too much gabbage,at least labda nje wazungu hawa mind sana-Kwa Tanzania any man coming near her-huyo mtu atatengwa na family-kwa kifupi she is carrying too much gabbage for a Tanzanian to handleUpo sahihi mkuu but Wema is so much more worse than her mama, maana Wema na dunia ya sasa ya mtandao imetafuna pia ubongo!
There is still time akiamua maana wanawake wengi tumepitia vipindi vya hatari wengine tulijeruhiwa during those times ila tumeweza kusimama tena, siunajua Wanasema it ain't over until the phat man sings! AJICHAMBUE before hawajamchambua!
Habarini wana Jamvi
Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha
To my unborn twins,
.
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️
Duh!![]()
Bro kakopi ujumbe.
Kua na kipaji cha kuandika romantic words hasahasa kwa sisi wabongo ni mtihani kidogo mkuu japo sio wote. Nyingi sana tuna copy na ku pasteDuh!
Hata ule ujumbe mwingine wakati anatangaza mimba(fake) inawezekana alikopi sehemu!
Nomah sana!
Habarini wana Jamvi
Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha
To my unborn twins,
.
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Regency ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
Mwisho Mwampamba ni tofauti sana na huyu 'a$.$ hole' wa Arusha. Mwisho hakupata chochote kutoka BBA kwa kuwa hakuwa mshindi (mshindi alikuwa ni Cherise Makubale wa Zambia), na normally BBA humpa pesa mshindi tu, sio first runner. Inashangaza sana kwamba dogo badala ya kuwekeza pesa mahali ambapo atavuna faida (kama DSE), amewekeza kwa ka-haba!Idriss nae ni kilaza sijaona, pesa za BBA kwenda kutafutia kick kumake headlines, nae atajoin kule TV1 very soon akahost kipind ka mwenzie mwisho mwampamba very soon!
Nilidhan baada ya kutoka BBA idris atakua miongoni mwa vijana watakao wa inspire vijana wenzao kwa kuanzisha kampuni ya filamu au biashara yeyote kama alivyodai apo awali, matokeo yake umaarufu umemzidi nguvu, nilichoka nilivyowaona clouds wakihojiwa na diva wanavyokiss na idris, duh mpaka nilichola