Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Mmh kama walikuwa wanafake ni juu yao na Mungu wao, but kiukweli nimeumia na hao watoto kama wangu vile, si kitu cha kuwish kimkute mtu yeyote yule, hata kama anakukera kiasi gani au unamchukiaje. Mungu wasaidie wajawazito wote wajifungue salama watoto wao.
Ila ujumbe aloandika Idriss amegoogle, hii inamaanisha nini kukopi na kupaste? Wazee wa drama, attention seekers, dah inahuzunisha
 
1455700907741.jpg

Wema na new man, yupo kazini kusaka money money kama kawa...huku eti amepata miscarriage kumbe yupo poa anatanua na mpya...poor Idris.

1455700931101.jpg
 
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.

mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.

Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
 
Teh Teh kuna gazeti limeandika mimba ya wema ilikuwa ni puto....
Nikikumbuka maneno ya Wema aliyoyasema pale Clouds ambayo anadai kuwa aliambiwa na Kanumba baada ya kutoa mimba yake...
Wema alisema Kanumba alisema kuwa sitokusamehe kwa kitendo cha kutoa mimba yangu na unajuaje ndiyo huyo huyo Mungu kakujalia?.....
Kwahiyo kanumba ndio mchawi wa wema ha ha ha ha ha
 
Mkuu hakuna kiumbe kilicho kuwepo! Hakuna kitu kilicho toka kwa sababu hakuna kilicho ingia. ..!

Time will tell....
Yani hawa wanaomuingiza Mungu kwenye huu upuuzi wa wema wanakera, wanamfanya Mungu mjomba wao mxyuuuu
 
mumie hivi ni kweli jaman mtu unaweza kutoa mimba ukajitangaa redioni?
Madame so umeamini wema was preg? we ni mama hivi wiki 13 tumbo liwe vile? Wiki 13 jinsia za watoto zionekane?
Wema hashindwi na alisema katoa mimba ya kanumba, na sababu ya kutoa alisema alikua mdogo lol
Wema ni muongo mnooo mi siamini chochote kutoka kwake
 
Umaarufu nao ni kipaji maana sio kwa kiki hizo ila mm nlijua tu kua wema hana kitu
 
FURAHA NILIYONAYO HAIELEZEKI,NIMECHINJA KUKU LEO NYUMBANI KWANGU KUSHEREHEKEA KIFO HIKI,TENA NIMEMCHINJA JOGOO WANGU PENDWA
 
Badala ya kukopi na kupest hiyo Idris angekopi tu zile lyrics za wimbo wa Mandojo na Domo....haswa kwenye ile line ya "kanighadhabisha zaidi alipojieleza ana mimba...amevimbisha kitumbo nielewe ndani ana kinda........"
 
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.

mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.

Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
ImageUploadedByJamiiForums1455704066.468337.jpg
kaumia kama hiviii
 
Nampa pole sana huyu Dada kama kweli alikuwa nayo ama vipi lakini naamini kuanzia sasa kuna kitu atakuwa kajifunza.
 
Back
Top Bottom