Ila ujumbe aloandika Idriss amegoogle, hii inamaanisha nini kukopi na kupaste? Wazee wa drama, attention seekers, dah inahuzunishaMmh kama walikuwa wanafake ni juu yao na Mungu wao, but kiukweli nimeumia na hao watoto kama wangu vile, si kitu cha kuwish kimkute mtu yeyote yule, hata kama anakukera kiasi gani au unamchukiaje. Mungu wasaidie wajawazito wote wajifungue salama watoto wao.