Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mange kamshauri Wema atafute mwanamume asiejua mambo ya mitandao- of all people mtu ushauriwe na Mange,haingii akilini
Kuna mwanaume asiyejua mambo ya mitandao siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange kamshauri Wema atafute mwanamume asiejua mambo ya mitandao- of all people mtu ushauriwe na Mange,haingii akilini
wako wengi sana,computer wanaiona kama kituo cha polisiKuna mwanaume asiyejua mambo ya mitandao siku hizi?
wako wengi sana,computer wanaiona kama kituo cha polisi
Teehehehehe labda wa kwake mkuu.Kuna mwanaume asiyejua mambo ya mitandao siku hizi?
Teehehehehe labda wa kwake mkuu.
Tena wa Bank, hihihihi watu wanajua kutoa ushauri kuliko "Dokta" Mwaka.
Amina!!! Love your deepest thoughtsMmh kama walikuwa wanafake ni juu yao na Mungu wao, but kiukweli nimeumia na hao watoto kama wangu vile, si kitu cha kuwish kimkute mtu yeyote yule, hata kama anakukera kiasi gani au unamchukiaje. Mungu wasaidie wajawazito wote wajifungue salama watoto wao.
Masharti ya waganga wa kienyeji bana!
Umenichekesha sana.
Halafu sijui kwa nini wanawake ndo huwa wahanga wa hawa waganga.
Unakuta kabisa mwanamke anaamini katika huo upuuzi.
Mara nyingi waganga huwa ni wanaume na wateja wao wengi huwa ni wanawake.
Ndo maana kuna tofauti ya kiakili [kwa ujumla] kati ya wanawake na wanaume.
guys let me tell you the truth....u know hawa watu wana cheza na minds za watu but the truth will remain there ni kwamba wema bado mimba anayo na haijatoka kama watu wanavyo hisi but wanataka watu wawatolee macho ili wapate kick ya kutosha kwa ajiri ya hii mimba na relationship yao kwa ujumla.....kama hamuamini subirini muone mtaambiwa mimba imerudi mgumba ezaa tena mapacha wa wili mmoja dume kama baba yake na mwingine jike kama mama yake copyright. Just wait n see