Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Wema apelekwe kwa mshauri nasaha, hakuna binadamu anayependa matusi, ametukanwa, amekejeliwa jamani, kama hatumii dawa za kulevya atakuwa kwenye wakati mgumu sana. Tatizo kubwa SANA alilonalo anapenda sana kuandikwa kwenye magazeti kwa wema au ubaya. Pia anaishi maisha fake yasiyo na uhalisia
 
Wema ni teja,,anatumia poda
 
mmmh hawa watu wanalindwa na vidume vyao ukiwagusa tu nakwambia utafuatwa mpaka sijui wapi?
Aaaaah wapi wewe,as long as unataja kwa hizihizi fake ID hakuna noma.
Ubaya ni ukimtaja mtu kwa majina yake halisi,Life Ban inakuhusu.
Kawaida sana usijali wala nini,nikipata muda nitakucheki PM.
 
kwa andishi hili la sasa naweza kukubali na kuamini kuwa huyu bibie ndio @lala1 halina ubishi kabisaa
 
Laana ya kanumba inamuandama huyo changudoa, coz nasikia kuna mimba yake aliitoa. so kanumba akasema kuna deni anamdai wema
 
Huyu wema mshauri wake mwenyewe ni mage kimambi. Saoivi anamshauri atulie atafute bwana mwenye pesa kama meneja wa bank hivii. hahaha Yani wema ni wa kumuombea, mama yae mwenyewe ndo yule anaropoka matusi hadharani, mshauri mkuu mange kimambi certified lunatic, what do u expect from her?.. poor thing!!
 
there was no pregnancy. ..h akukuwa na kitu kama hicho
 
Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?

Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?

Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?

Aisee!!!
huyo ever hat atakuwa naye dizain ya wemanyok...shennzyyy...ivy why watu wanakuwa waongo hivi...that prostitute wasn't prego
 
Hahaha I like your observation. Mimi wema hata nimkute room kwangu yuko kitandani uchi wa mnyama kanipanulia mapaja tayari papuchi inaniita ananiambia vaa condomu uniingizie mboo siingizi. Kwanzaa haitadinda. Namwambia I am sorry but I can't
 
Six weeks, huyo alipitiliza siku zake tu.
Mbona walisema three and half months. Nikashangaa hivi mimba ya miezi mitatu kuharibika si Angelazwa kabisa huyu kusafishwa? Yani imeharibikia nyumbani na wao wanatoa taarifa. I don't think she ever was pregnant
 
Halafu hiyo team yake isiyojitambua ikamtukana Sana nay wakati kasema ukweli.hao wanaojiita team Wema lazima zimeruka kidogo maana si kwa drama hizi.
Hakuna watu akili haziwatoshi kama mashabiki wa instagram wa wema na diamond. Ukiwakuta huko wakiwa katika ubora wao utaamini kwamba kuna watu na viatu Tanzania. They are quite different people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…