Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Uteras yake ilisha legea sababu ya abortion hawezi beba preg
 
Ngoja nay wa mitego asikie
 
katapeliwa huyo dogo...daylight robery.I knew yule chick alikua after 300k by the way you cant turn a hoe into a house wife.Proverbs 11:22.
Teh teh..Daylight robbery sio..Kwa hiyo kijana kapigwa?
 
Hivi kwann mtu u-fake life!??..ukiishi naturally utakosa pumziii??, khaa!!! Hivi vichefu chefu jamanii
 
Mh, nakosa hata la kusema kama ni kweli mana maisha ya wema mi hata siyaelewagi
 
Bado mnasema Ney wamitengo kwenye wimbo wa shika adabu yako katukana
 
Mie nilishangaa mimama ya singida eti inampa huyu MCHARUKO kura aende Bungeni! Kweli mambo mengine ni aibu na fedhaha mno kwa wamama wa singida sijui akili zenu au utapiamlo! Kweli huu mcharuko uende bungeni?
 
Mtu alikuwa amebanwa na mjambo nyie mnang'ang'ania ni mimba...😎😎
 
Mi nawasikitikia wale machizi wake wa ISTAGRAM anaowafanya Mazombi yake kwa kumtetea kumbe mtu mwenyewe ni kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…