Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Idris nilivyomuona mimi mkuu hajielewi kabisaaaaaa, eti anasema anachompendea wema ni kwamba "anamfanya ajisikie mwanaume"!!!!!! Sielewi how, huko nyuma alikuwa anajisikia mwanamke au
 
Ustaa wa bongo nisawa na kutwikwa gunia la misumari huku unakipara kichwani
 
Hivi kuna watu waliamini kuwa Wema ana mimba kweli?
Huyo dogo alikuwa shemeji yangu kitambo kabla Tz haijamfahamu.

Katoa sana mimba za kaka yangu
 

Teh Teh
 
Jamaa na ujanja wote kaingizwa mjini,
Kitaa ukiwa na mipesa ya mchezo unadanganywa binti ana mimba yako, mipesa ikiisha unaambiwa mimba imechomoka alipobeba ndoo ya maji.
 
Maisha ya wema mabaya sana hajitambui aliyemloga kafa maskinialipewa nyota kubwa kuliko akili akazani itabaki pale pale aalibeba mirafiki Kibao mirAfikiikamgeuka lo! Ipo Siku atajuta kila mtu sasa amuona photo kah hata vishabiki vitumbua vimacho imewatoka chacha
 
Kama atasema ni mapacha watatu itabidi tumnunulie gitaa na keyboard afungue band kabisa.....
 
Halafu hiyo team yake isiyojitambua ikamtukana Sana nay wakati kasema ukweli.hao wanaojiita team Wema lazima zimeruka kidogo maana si kwa drama hizi.
Kuwa shabiki wa huyu "chizi" ni lazima ubakiwe na akili ya kuvalia nguo tu, ndo utawezana nae kama walivyo mashabiki wake waliotunukiwa Phd ya matusi na michambo.
 
Pia, tulielezwa humu kuna kampuni ya mavazi imejitolea kuivisha hio mimba hadi watoto watakapozaliwa ...
 
Ameamua avute na bangi ha ha ha ha ha
Ruttashobolwa
Teh Teh kuna gazeti limeandika mimba ya wema ilikuwa ni puto....
Nikikumbuka maneno ya Wema aliyoyasema pale Clouds ambayo anadai kuwa aliambiwa na Kanumba baada ya kutoa mimba yake...
Wema alisema Kanumba alisema kuwa sitokusamehe kwa kitendo cha kutoa mimba yangu na unajuaje ndiyo huyo huyo Mungu kakujalia?.....
 
Umenena vema..mashabiki wake ndio problem...hata cku akila mavi watashabikia tu.
 
yani sijui.....inasikitisha upande wakama ilikuwa kweli na ikatoka....ila inachekesha kama haikuwa mimba kweli ilikuwa drama......na hivi sasa nyimbo ya ney itapaa kwa ukweli wa hicho kipande japo hatujui kama ni ilikuwepo ikatoka...i fell sorry for wema aiseee help her kisaikolojia aiseee ni balaaaaaaaa.....yani hapa ntaongea na kijapani sasa.....Ohayio suminasai...Konichiwa .....
sayonara..bye
 
Kizazi cha wema sepetu yawezekana kiliharibika kati ya miaka 2006 hadi 2010 miaka hii ndio tulikuwa tunasikia mara yupo na
TID
MR BRUE
KANUMBA
PREDESHEE....
....
....
Hapa ndipo mimba ilipochopolewa sana na sasa anajuta ndio maana ameamua kuishi maisha ya kuigiza na kufuga Vilapdogs vimliwaze.
 
Mkuu hata huo ujumbe Idriss amekopi na kupaste google, dah drama zimezidi, google A letter to my unborn baby. Hapakuwa na ujauzito now confirmed
 
mshkaji mbona kama analeta sentiments za kiduwanz??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…