Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Mashabiki wa hawa watu wanakazi si kidogo. Nilidhani labda Idris anajielewa kumbe nae ni wale wale

Halafu hawa vijana ni risk takers kweli kweli maana yule Wema kapulizwa na kila mtu na wao Bado wanaenda kibingwa. Kama wangekua na huu ujasiri kwenye nyanja zingine labda wangepiga hatua smh
Idris nilivyomuona mimi mkuu hajielewi kabisaaaaaa, eti anasema anachompendea wema ni kwamba "anamfanya ajisikie mwanaume"!!!!!! Sielewi how, huko nyuma alikuwa anajisikia mwanamke au
 
Ustaa wa bongo nisawa na kutwikwa gunia la misumari huku unakipara kichwani
 
Hivi kuna watu waliamini kuwa Wema ana mimba kweli?
Huyo dogo alikuwa shemeji yangu kitambo kabla Tz haijamfahamu.

Katoa sana mimba za kaka yangu
 
Hahaha....here we go again!

The pregnancy that is full of drama like a soap opera.

But these two fools really know how to toy with people's minds [and emotions for that matter].

And they probably already know that there's a sucker born every minute who will gobble up hook, line, and sinker any drivel that they put out there in the social media.

I mean, was there even a pregnancy in the first place?

Or, could it be that she is really pregnant but they have just chosen to mess with people knowing there is going to be strong reaction from the so called fans and haters?

Is it a publicity stunt?

On the real, though, the whole thing is funny to watch.

Can't wait to see what comes next.

I won't be least bit surprised if she posts something next week saying the 'twins' have resurrected and as a result she's back to being pregnant again.

Teh Teh
 
Jamaa na ujanja wote kaingizwa mjini,
Kitaa ukiwa na mipesa ya mchezo unadanganywa binti ana mimba yako, mipesa ikiisha unaambiwa mimba imechomoka alipobeba ndoo ya maji.
 
Maisha ya wema mabaya sana hajitambui aliyemloga kafa maskinialipewa nyota kubwa kuliko akili akazani itabaki pale pale aalibeba mirafiki Kibao mirAfikiikamgeuka lo! Ipo Siku atajuta kila mtu sasa amuona photo kah hata vishabiki vitumbua vimacho imewatoka chacha
 
Hivi utashangaa hii mimba ikirudi wiki ijayo?

Na badala ya mapacha wawili tukaambiwa ni ya mapacha watatu?😀😀😀

Ila, ni kweli kulikuwa na mimba au walikuwa wanatafuta kiki tu?

Manake tuliambiagwa kuna nyumba ya milioni 400 [haikuingia akilini mwangu hizo hela zote alizitoa wapi], ikapotea. Ikaja sijui ya milioni 200 na kitu...nayo ikapotea. Yakaja magari kadhaa ya kifahari...kumbe nayo hayakuwa yake.

Hatujakaa kaa sawa jipu la umeme wa wizi likatumbuliwa.

Hapo huoni kuna pattern flani ya uongo.....?
Kama atasema ni mapacha watatu itabidi tumnunulie gitaa na keyboard afungue band kabisa.....
 
Halafu hiyo team yake isiyojitambua ikamtukana Sana nay wakati kasema ukweli.hao wanaojiita team Wema lazima zimeruka kidogo maana si kwa drama hizi.
Kuwa shabiki wa huyu "chizi" ni lazima ubakiwe na akili ya kuvalia nguo tu, ndo utawezana nae kama walivyo mashabiki wake waliotunukiwa Phd ya matusi na michambo.
 
Hivi utashangaa hii mimba ikirudi wiki ijayo?

Na badala ya mapacha wawili tukaambiwa ni ya mapacha watatu?😀😀😀

Ila, ni kweli kulikuwa na mimba au walikuwa wanatafuta kiki tu?

Manake tuliambiagwa kuna nyumba ya milioni 400 [haikuingia akilini mwangu hizo hela zote alizitoa wapi], ikapotea. Ikaja sijui ya milioni 200 na kitu...nayo ikapotea. Yakaja magari kadhaa ya kifahari...kumbe nayo hayakuwa yake.

Hatujakaa kaa sawa jipu la umeme wa wizi likatumbuliwa.

Hapo huoni kuna pattern flani ya uongo.....?
Pia, tulielezwa humu kuna kampuni ya mavazi imejitolea kuivisha hio mimba hadi watoto watakapozaliwa ...
 
Ameamua avute na bangi ha ha ha ha ha
Ruttashobolwa
Teh Teh kuna gazeti limeandika mimba ya wema ilikuwa ni puto....
Nikikumbuka maneno ya Wema aliyoyasema pale Clouds ambayo anadai kuwa aliambiwa na Kanumba baada ya kutoa mimba yake...
Wema alisema Kanumba alisema kuwa sitokusamehe kwa kitendo cha kutoa mimba yangu na unajuaje ndiyo huyo huyo Mungu kakujalia?.....
 
Kuwa shabiki wa huyu ngamia ni lazima ujitoe kidogo ufahamu. Nilisema imeanza drama ya kajala itafata ya huyu mama ubaya soon wako team ngamia humu walinilaani na kutokwa mapovu balaa haya sasa Leo yakowapi? Hakuwa mjamzito wala mjamwepesi ni drama drama all the time huyu atakuwa fake maisha yake yote na kwa kufuru aliyofanya ya kujidai Ana mimba sidhani Kama hata huyu Mungu atampa.
Umenena vema..mashabiki wake ndio problem...hata cku akila mavi watashabikia tu.
 
yani sijui.....inasikitisha upande wakama ilikuwa kweli na ikatoka....ila inachekesha kama haikuwa mimba kweli ilikuwa drama......na hivi sasa nyimbo ya ney itapaa kwa ukweli wa hicho kipande japo hatujui kama ni ilikuwepo ikatoka...i fell sorry for wema aiseee help her kisaikolojia aiseee ni balaaaaaaaa.....yani hapa ntaongea na kijapani sasa.....Ohayio suminasai...Konichiwa .....
sayonara..bye
 
Kizazi cha wema sepetu yawezekana kiliharibika kati ya miaka 2006 hadi 2010 miaka hii ndio tulikuwa tunasikia mara yupo na
TID
MR BRUE
KANUMBA
PREDESHEE....
....
....
Hapa ndipo mimba ilipochopolewa sana na sasa anajuta ndio maana ameamua kuishi maisha ya kuigiza na kufuga Vilapdogs vimliwaze.
 
Teh Teh kuna gazeti limeandika mimba ya wema ilikuwa ni puto....
Nikikumbuka maneno ya Wema aliyoyasema pale Clouds ambayo anadai kuwa aliambiwa na Kanumba baada ya kutoa mimba yake...
Wema alisema Kanumba alisema kuwa sitokusamehe kwa kitendo cha kutoa mimba yangu na unajuaje ndiyo huyo huyo Mungu kakujalia?.....
Mkuu hata huo ujumbe Idriss amekopi na kupaste google, dah drama zimezidi, google A letter to my unborn baby. Hapakuwa na ujauzito now confirmed
 
Habarini wana Jamvi

Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha

To my unborn twins,
.
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️
mshkaji mbona kama analeta sentiments za kiduwanz??
 
Back
Top Bottom