GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili ) Uwanja wa Chamazi.
Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu huu.
Nadhani sasa ni muda muafaka kwa CAF Kutizama upya Vilabu vitakavyoshiriki hii Michuano ya Kimataifa kuliko kuruhusu Vilabu dhaifu Kushiriki na ambavyo vinakuja tu Kugawa Points ( Alama ) na Karamu ya Magoli mepesi na Hat Tricks za Kipuuzi kutoka kwa Wachezaji ambao hawajui Kufunga zaidi ya Kubahatisha tu.