Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Huyu Mama ni Mtihani kweli, so alitaka watumishi wafiche UFISADI… wao watumishi wanapata faida gani? Nilidhan atadeal na ufisadi kumbe anadili na mpiga picha, nasema hatoweza…… human ni very
Complex créature for as long as hakuna haki na usawa.

It’s simple reasoning….. pesa ale abdul na Waziri Salum halaf mm ndio nitunze siri kwa faida gani? Hivi watu wa generation hii ya Tanzania wanawaza kwa kutumia viungo gani ?

Yani mtu anapambana kuutetea na kuuficha ufisadi badala ya kuwajibishàna

Wakenya wapo sahihi ….. watanzania wapo kwenye dark age…..pretending worship peace huku wanaungua

Honestly , she has lost a control, dont trust me , Just go and check it for yourself.

She was supposed to conduct investigation on leaked docs , na akawawajibisha hao mafisadi…. That would be a smart move
Badala yake…. Anaanza kutisha watu tena…….. Yale yale ya wakenya

As a medical specialist and psychologist….. Intimidation is not a strategy to deal with human behavior…. More docs are on pipeline …. Ajiandae maana hajajua bado namna ya kudeal na human behavior. If intimidation and atomic energy would be a solution to human behavior….. Israel would have defeated Palestine
Mkuu twaafa, sasa hivi naona Abdul na mama yake wameamua kulibagaza taifa wazi wazi bila kificho huku wakitumia gharama kubwa kuwanyamazisha wote wanaokemea ufisadi wao na upande mwingine wakiajiri vijana wa ovyo wanaoshinda mitandaoni kiwasafisha na kukanusha kila skendo ya ufisadi inayomuhusu samia.

...alichokisema huyo mkenya hapo kuhusu watanzania hakuna cha uongo hata kidogo...
 
Back
Top Bottom