Na ajae kama atatokea ccm atakataa katiba mpya kwenye utawala wake atakaemfuatia hivyo hivyo mpaka mwisho wa uhai wetuSimply hataki Katiba kabla ya 2025
Na Kwa maana ingine sa100 alipokuwa mkt Bunge la Katiba alikuwa hajui anafanya nini pale!!Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
Katiba sio mali yake haitaki kama nani, hata leo akiikataa kuna siku hatakuwa kwenye hicho kiti.Simply hataki Katiba kabla ya 2025
Atalazimishwa.Simply hataki Katiba kabla ya 2025
siasa inahitaji uwe na hekima sana na uchunge kauli zako. Unaweza ukadhani unawatukana wapinzani wako kumbe unajitukana wewe mwenyewe.Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
Maza anasumbuliwa na Homa ya 2025. Hii ni kwa sababu mbinu za kupika kura zinazifi kuwaishia. Safari hii hawatawrza kutumia mbinu za JPM na Mahela. Na mbinu zilixotumika wakati wa JK zimepitwa na wakati... Jana alionekana akiongea kwa hasira. Nafikiri Chadema wameanza kumpatia. Washikilie hapo hapo.Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
Munamuonea bure Mheshimiwa!Simply hataki Katiba kabla ya 2025
Simply hataki Katiba kabla ya 2025
Hata Kamati ya Warioba ilifanya kazi hiyo.Samia 1977 Watanzania walipewa elimu kuhusu katiba. Dawa ni kususia uchaguzi mkuu wafanye watakavyo wao.
Kiukwel elimu inaitajika,, lakin kama ambavyo amesema elim kwanz ni lazima hyo elim inachukua mpka mda wake uishe wa uongozi na ajaye pia hawezi sizani kama ataweza kutilia maanan juu ya katiba mpyaRais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
Msameheni mama ndugu zangu. Huu moto anaopelekewa kwa miezi hii michache umemchanganya. Hajui cha kusema ili mradi kunakucha.Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
TUME YA JAJI WARIOBA ILIYOTEULIWA NA JK ILIFANYA KAZI KUBWA SANA YA KUWAELIMISHA WANANCHI NCHI NZIMA KWA KUGAWA NAKALA ZAKATIBA NA KUGAWA PIA VIPEPERUSHI ILI KUTOA ELIMU KWA WANANCHIRais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.
Kamati ya Warioba ilizunguka nchi nzima kutoa elimu ya Katiba na baadae kukusanya maoni yao, hiyo haikuwa elimu tosha au kuna elimu nyingine anayoitaka Rais Samia ambayo sisi wananchi, Kikwete na Warioba hatuijui?
Kati ya Kikwete, Warioba na yeye nani anawageuza watu mazuzu.
Ndio maana iliishia njiani Kwa sababu hakukuwa na muafaka wa Kitaifa,mambo Yale hayatakiwi kurudiwa.Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Kuhusu Katiba Mpya tunaanza na Elimu Watanzania waijue, unaanzaje kumwambia Mtu akupe maoni yake kitu hakijui. Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza Watu, tunachokisema sisi Watu wote wafuate, tunageuza Watu makasuku”.