Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
 
Imeongeza integration, watu wanapata pisi za nje watu Wana Fanya biashara nje, ishu za race zinawekwa pembeni.
Watu wanapata ma connection ya kazi nje.
Yaani simple
 
Kweli, watu wanajua culture za wengine nk. Lakini pia imekuwa platform kwa waeneza chuki za kidini na ubaguzi wa rangi.
Ukiona vp achana na hizo platforms
Kuzipitia..
Ubaguzi wa dini,rangi umekuwepo tokea zamani na utaendelea kuwepo

Ova
 
Back
Top Bottom