Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
Umetumia Akili Fupi Sana Ambazo Hazina Uzalendo Wala Mbadala.....Poor You!

Note: Iam Civil Engineer na Nafanya Kazi za Uhakika!
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Waliosoma . ( HKL, HGL, HGK, HGE) hawa wakajikite/ wakasomee:

1. Siasa
2.Sanaa (maigizo & muziki)
3. Ujasiriamali
4.............
5............
 
Hizo courses zngekuwa bora

1. miradi mikubwa mikubwa ya ujenzi isingekuwa inapelekwa kwa wageni

2. Maghorofa yasingekuwa yanadondoka yenyewe

3. Barabara zetu zinazojengwa na wazawa zingekuwa bora sana.

4. Madaktari wasingekuwa wanakosea kupasua kichwa badala ya goti

5. Tungekuwa na mipango miji mizuri sana.

6. Tungekuwa na kilimo cha umwagiliaji kuliko Egypt.

7. Walijifunza wenyewe bila mwalimu.

8. Na mwisho kwa leo, wote waliosoma hayo, wanaajiriwa na aliyesoma Kiswahili na civics.
1.unaonekana unaongozwa sana na hisia kuliko uhalisia hapo namba 1.ulichoandika inaonekana haupo well informed, miradi mingi mikubwa wanaotoa pesa wanakua ni watu wa nje mfano kuna miradi inafadhiliwa na benki za china hii mingi mashart yake inataka consultant pamoja na contractor lazima wawe wachina.. Mfano flyover ya TAZARA fedha zimetoka nje ndo mana consultant ni mtu wa nje.
Makampuni ya kibongo yanafanya shughuli kubwa sana mfano mm. Nilifanya kazi na kampuni ya kibongo hao ndo walidesign lapf tower karbu ghorofa 31,unaijua RITA tower ile ni karbu ghorofa 25+ na wamedisign wabongo.. Kama huna taarifa ni bora uwe kimya tu..
2.Unazungumzia kuanguka kwa maghorofa embu nipe takwimu toka uzaliwe maghorofa mangapi yameanguka na mangapi hayajanguka. Unajua sababu znazofanya mpaka maghorofa yaanguke, je unafahamu kuwa mpaka nchi za wenzetu maghorofa huwa yana anguka..
Kiufupi umeonyesha jinsi gani ulivyo mweupe kichwani..

Civil engineer.
 
Watu wa sanaa unajua Unajua wanajichanganya sana Hata tofauti ya Engineers na Contractor hawajui Hawajui kuna ERB na CRB, Mpaka uwe mkandarasi unahitaji Vifaa vya kutosha na Capital kubwa kupata tender fulani Hata hao Wachina Huwatumia wahandisi wa Ndani kuanzia Design mpaka Ukamilifu wa Project,Mdau aache kutokwa Povu

Electrical Engineer
 
Unamaanisha top kwa ugumu, malipo ya taaluma zinazozihusu au ni nini? Sijaelewa unachozungumzia.
 
Nadhani umechanganya Maritime Transportation na Marine Engineering
bloodful kabisa fungi wew unaona kwenye post ka type what and u you type what makinikia mna tabu sana
 
1.unaonekana unaongozwa sana na hisia kuliko uhalisia hapo namba 1.ulichoandika inaonekana haupo well informed, miradi mingi mikubwa wanaotoa pesa wanakua ni watu wa nje mfano kuna miradi inafadhiliwa na benki za china hii mingi mashart yake inataka consultant pamoja na contractor lazima wawe wachina.. Mfano flyover ya TAZARA fedha zimetoka nje ndo mana consultant ni mtu wa nje.
Makampuni ya kibongo yanafanya shughuli kubwa sana mfano mm. Nilifanya kazi na kampuni ya kibongo hao ndo walidesign lapf tower karbu ghorofa 31,unaijua RITA tower ile ni karbu ghorofa 25+ na wamedisign wabongo.. Kama huna taarifa ni bora uwe kimya tu..
2.Unazungumzia kuanguka kwa maghorofa embu nipe takwimu toka uzaliwe maghorofa mangapi yameanguka na mangapi hayajanguka. Unajua sababu znazofanya mpaka maghorofa yaanguke, je unafahamu kuwa mpaka nchi za wenzetu maghorofa huwa yana anguka..
Kiufupi umeonyesha jinsi gani ulivyo mweupe kichwani..

Civil engineer.
Kwa kifupi aliyetoa hiyo hoja hajua hata tofauti ya consultant/engineer/designer na constructor!!

Irrigation/water resources engineer.
 
bloodful kabisa fungi wew unaona kwenye post ka type what and u you type what makinikia mna tabu sana
Sijaelewa mantiki ya unachopinga
mtoa mada ameandika program ya maritime transportation kwa aliesoma economics ni nzuri
Unachopinga ni nin?kwamba aliesoma economics hawezi kusoma maritime transportation?
 
unatumia history aupo current..unaacha wapi course kama BSC in chem,,angalia ajira zilizotangazwa hivi karibuni TBS,TFDA..lakini pia nenda viwandani kama Tbl,azam n.k ukajue kazi za wakemia....unaicha vipi course kama bsc in/with ed(science)
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Quantity surveying = Building Economics = Cost Engineering
 
unatumia history aupo current..unaacha wapi course kama BSC in chem,,angalia ajira zilizotangazwa hivi karibuni TBS,TFDA..lakini pia nenda viwandani kama Tbl,azam n.k ukajue kazi za wakemia....unaicha vipi course kama bsc in/with ed(science)
Kwa kuajiriwa sikatai ipo poa ila imekosa sifa ya pili ya Kujiajiri
 
Back
Top Bottom