Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu!
Huyu alipendwa na 99% ya wakenya.
Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
 
Siasa za Kenya zimejaa ukabila

Hao watu wengi mnaowaona kwenye maombolezo zaidi ya 90% ni kabila lake - WAJALUO
 
Watu hujaa hivyo kwenye kampeni ila wapigaji kura wengi wako vijijini, hata Tanzania, wagombea kama akina Tundu Lissue hujaza nyomi ya vijana mjini, ila wengi wa hao madogo wazembe kwenye kupanga foleni za kura.
 
Waafrika wanathamini wafu kuliko wanaoishi bro
 
Msiba hua ni wa watu wote,
Hata maadui zako sio ajabu kuja kwenye msiba wako,

Msiba huwakusanyisha watu wa kila aina.
 
Back
Top Bottom