R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Oct 16, 2025 #1 Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu! Your browser is not able to display this video.
Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu! Your browser is not able to display this video.
M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 3,253 Reaction score 9,736 Oct 16, 2025 #2 Siasa za Kenya zimejaa ukabila Hao watu wengi mnaowaona kwenye maombolezo zaidi ya 90% ni kabila lake - WAJALUO
Siasa za Kenya zimejaa ukabila Hao watu wengi mnaowaona kwenye maombolezo zaidi ya 90% ni kabila lake - WAJALUO
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Oct 16, 2025 #3 Watu hujaa hivyo kwenye kampeni ila wapigaji kura wengi wako vijijini, hata Tanzania, wagombea kama akina Tundu Lissue hujaza nyomi ya vijana mjini, ila wengi wa hao madogo wazembe kwenye kupanga foleni za kura.
Watu hujaa hivyo kwenye kampeni ila wapigaji kura wengi wako vijijini, hata Tanzania, wagombea kama akina Tundu Lissue hujaza nyomi ya vijana mjini, ila wengi wa hao madogo wazembe kwenye kupanga foleni za kura.
PeeWee JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,555 Reaction score 3,823 Oct 16, 2025 #4 Waafrika wanathamini wafu kuliko wanaoishi bro
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Oct 16, 2025 #5 Msiba hua ni wa watu wote, Hata maadui zako sio ajabu kuja kwenye msiba wako, Msiba huwakusanyisha watu wa kila aina.
Msiba hua ni wa watu wote, Hata maadui zako sio ajabu kuja kwenye msiba wako, Msiba huwakusanyisha watu wa kila aina.
Mafunzo ya Udereva JF-Expert Member Joined Aug 27, 2025 Posts 620 Reaction score 925 Oct 16, 2025 #6 Hiyo inajulikana mkuu kuwa