KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!!