Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!!
 
Unakua na mahusiano na mwanamke?!Huogopi matatizo?
 
Kwahiyo hata baada ya kujua kwamba ndo chanzo cha matatizo hukuwaogopa?Kweli we ni sugu!

Mnamatatizo mengo sasatutafanyeje hivyohivyo tutawavumilia sanasana nikujiadhari na nyinyi!!
 
Wako wengine, tafuta ambaye ataridhika kuwa nawe hata kama huna usafiri. Huoni kuwa huyo uliye naye anakupenda kwa kuwa unazo? Sasa fikiria mambo yakakuendea vibaya atakuwa wako tena?
 
Mnamatatizo mengo sasatutafanyeje hivyohivyo tutawavumilia sanasana nikujiadhari na nyinyi!!

Sasa unajihadhari bila kujitenga na wanawake?Hama dunia ukajifiche ambapo hamna wanawake.Hapa utaishia kunyanyasika maana tupo kila kona!
 
leo naona umedamkia wanawake tu!!! hivi nyie hamjioni mapungufu yenu?? ninamashaka na ww kama utamsomesha mwanao wa kike!!
 
Jamani, msameheni bure KakaKiiza. YAMEMKUTA MALIMWENGU!:bored::bored:
 
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!!
mkuu pole sana hii ni thread yako ya pili leo unawalalamikia kaka...ndo wanawake hao you should know them from before
 
KK bana jana umenifurahisha leo unaniudhi kusema wanawake tu wanaume je?? Muone kwanza sura kama nanihiii
 
Kweli Kakiiza umenena vema..............I just ask myself mbona wanaume wao huwa hawajali kama huyu mwanamke ana uwezo au la? Au kwa kuwa wao ndio wanaooa?
 
Wako wengine, tafuta ambaye ataridhika kuwa nawe hata kama huna usafiri. Huoni kuwa huyo uliye naye anakupenda kwa kuwa unazo? Sasa fikiria mambo yakakuendea vibaya atakuwa wako tena?
 
KK Kama uko Bongo soma UK wa 5 wa DailyNews Pull out ya leo-Women Magazine, kuna joke nzuri itakupa majibu , Topic " Shopping for a Husband"; of course ilishazunguka kwenye mitandao mara kadhaa sio mbaya kujikumbusha kutokana na mada uliyoanzisha.
 
Kweli hii ipo sana, mwanaume kipato kikipungua tu, mapenzi hakuna...Japo wapo wachache wenye mapenzi ya kweli.
 
Hii thread angekua ametoa m2 mwingine ingekua balaa maana wanawake humu wangecharuka balaa lkn ashangaa wanavyojubu kw upole km lizzy,DA,suzy
 
KK Kama uko Bongo soma UK wa 5 wa DailyNews Pull out ya leo-Women Magazine, kuna joke nzuri itakupa majibu , Topic " Shopping for a Husband"; of course ilishazunguka kwenye mitandao mara kadhaa sio mbaya kujikumbusha kutokana na mada uliyoanzisha.

Haha Edo ndo nini kutuumbua wajameni? Ingawaje kuna ukweli flani mimi nadhani kuna haja ya kuliangalia hili kwa mapana. Kwa mwanamke ambaye ana kazi nzuri, anajiweza halafu nikamsikia akitoa kauli kama hii ya mwanaume suruali wa kazi gani nitajiuliza maswali makuu mawili
1. Huyu mdada ana mapenzi ya kweli kwa huyo anayemwita 'Mwanaume suruali'?
2. Dhana nzima ya mwanamke kuwezeshwa i.e. women empowernment iko? iko biased kuwa anajiweza lakini she always will tegemea mwanaume yaani kwangu ninaona kama utegemezi wa mwanamke kwa mwanaume una mizizi kama ulivyo mfumo dume........na ndipo linapoingia swala la shopping for him..........mwanamke anapesa za kutosha but kujitoa na kumpiga soap mwenzi wake inakuwa tabu (Sikatai kuwa wapo wanaofanya hayo but ni wachache- na asilimia kubwa inakwenda kwa wale tunaowabatiza majina ya kuku wa kienyeji au wanawake wa uswazi kuliko wale wa oysterbay/masaki)
 
Hii thread angekua ametoa m2 mwingine ingekua balaa maana wanawake humu wangecharuka balaa lkn ashangaa wanavyojubu kw upole km lizzy,DA,suzy
Ahahahahaaaah!! Leo wameamka vizuri.
 
Hii thread angekua ametoa m2 mwingine ingekua balaa maana wanawake humu wangecharuka balaa lkn ashangaa wanavyojubu kw upole km lizzy,DA,suzy

That is name calling you have been warned!!!!!!!!!
 
Pole ndio tatizo la kuchukua mwanamke ambae sio size yako, tafuta mnaeendana wala haitakua shida
 
Back
Top Bottom