Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

Tuna kazi..maana kila tunachofanya ni tatizo.Ukiwakataa unaringa..ukiwakubali mrahisi!Ukitaka vijisenti vyao unawachuna..usipotaka unajiona!Ukitulia nao unawaganda..ukiwaacha hujatulia!Tabu tupu!
Aisee!
 
Tuna kazi..maana kila tunachofanya ni tatizo.Ukiwakataa unaringa..ukiwakubali mrahisi!Ukitaka vijisenti vyao unawachuna..usipotaka unajiona!Ukitulia nao unawaganda..ukiwaacha hujatulia!Tabu tupu!

Nimeipenda hiyo
 
Ah mie nimekupa tu na scenerio nyingine uone. Unajua most of these tabia mbaya huwa wanazisababisha wao na bahati mbaya sie hatuchambua tunafollow tu sasa madhara yakitokea twabebeshwa lawama sie...........anakupenda mwanzo kwa kukupa kila kitu wengine ukitoka nao bar ukiomba kulipa bill hataki, ukimnunulia zawadi hataki sasa anasahau kuwa anakuzoesha na ujumbe unaoupata wewe ni kuwa mwenzangu hapendi nimnunulie zawadi au nilipie bill............siku wakichacha na wewe ukaendelea kuishi ulivyozoeshwa ni kesi. Wnawake tuna kazi kweli kweli
Haka ka yuzifuli sridi leo kanatupa mawazo ya upande wa pili ngoja tuendelee ku eksiploo dataz!
 
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!![/QUOTE]

Sio wote ni hao unaowapata wewe

na wanaume wa leo akipata mwanamke mwenye mikwanja anamng'ang'ania kama supa glu
pesa zikiisha na penzi bye bye
 
Hili nalo neno
 
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!!

mkuu wako wanawake wanaoangalia what we have lkn c wote,pamoja na hayo hata sisi kuna vigezo vya nje huwa tunaangalia kitu ambacho pia c chema sana!binafsi kabla cjaoa nilikuwa najiskia vzr kumpa tough mpenzi wangu naona niko responsible zaidi.
 
Hiyo chuki uliyonayo kwa wanawake itakutesa maisha! Hata ukipata anayekupenda kweli hutaenjoy maana muda wote utakuwa unawinda makosa yake tu. Badilika KK.
 
kaka vipi leo...maana nimeona thred yako nyingine inasema heri kununua ohio....naona umechukia sana....angalia sana kaka vinginevyo uzee wako utakuwa wa manung'uniko.....mke kama hana mawazo chanya kila siku ni kulalamika basi ujue hapo huna mtu...hakupi challange za maisha...kila siku ni kulalama......jua hapo huna mtu...ukipata pesa yeye kazi yake ni kula tu wala hakuaambii sasa mume wangu tunatunza hii tsh.8 na tunakula tsh 2...kama hakupi mawazo kama haya na anataka kula yote tsh 10 jua hilo garasa.

usipokaa sawa utauza hata hizo suruali....kuanza upya sio ujinga kaka........
 
Nimekusoma mahali wasema nisipo kuchuna utanipa mapenzi nisiopata ona, kuanzia leo ckuombi tena vocha. Lol

Nimesema ikitokea bahati mbaya huna kazi hayo malove na macare mwenyewe utajiona uko mbinguni, nitumie basi vocha ya elfu tano dear
 
KK bana jana umenifurahisha leo unaniudhi kusema wanawake tu wanaume je?? Muone kwanza sura kama nanihiii
Ahaaaaaa umeona tunafanana na naniihiindiyo maana siiachi na maana naipenda!!!nanaihangaikia hiyo nanihii ijiskie sisotenindugu na na nanii!!
 
By nature women look for security and comfort......

Ukibishana na nature utalia...........
 
Kakakiiza mbona threads zako nyingi zinalalamikia wanawake!? Au naonaga vibaya.
 
Hiyo chuki uliyonayo kwa wanawake itakutesa maisha! Hata ukipata anayekupenda kweli hutaenjoy maana muda wote utakuwa unawinda makosa yake tu. Badilika KK.

laiv bila chenga.
 
Ninashindwa kuelewa kwamba mappenzi yaleo tofauti na yazamani!!utasikia Mimi mwanaume suruali mie wanini kweli wadada????
Je mnahitaji mwanaume gauni??Hata kama kipato ndiyo wanaume tunyanyasike hivi!!Nilikuwa na mpenzi wangu nikamwambia ninampango wakuuza huu mkweche wangu!!akang'aka sasa ukiuza tutakuwa tunakutanaje??nikamwambia siunapanda daladala!!akasema mimi daladala mhnn naona utanikosa usije kulalamika ikitokea bwana anausafiri!!Hebu fikiria inamaana hapo kinachofanya mahusiano yawepo ni Mkwanja bila mkwanja mapenzi yameisha!!Hao ndio wanawake waleo!!
KK

Hili ni tatizo sana kwa sasa... nadhani chanzo kikuu ni umaskini na increasing demand ya mahitaji muhimu ambayo hayakuwa common zamani

Kumbuka siku hizi mdada anaonekana wa maana akiwa na fully furnished house, anabadili viwalo, vito vya thamani, new hair-do, skin care ya pekee, viatu pairs za kumwaga, kiwanja, gari, nyumba, accessories, diner, fashions etc

Hivi vyote kwa maisha ya kawaida haviwezekani kabisa bila mwanaume pochi - hao wengine = mwanaume suruali, mwanaume sexy wala mwanaume gentleman wanaishia kuwekwa ndani tu
 
Back
Top Bottom