Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

Tuna kazi..maana kila tunachofanya ni tatizo.Ukiwakataa unaringa..ukiwakubali mrahisi!Ukitaka vijisenti vyao unawachuna..usipotaka unajiona!Ukitulia nao unawaganda..ukiwaacha hujatulia!Tabu tupu!
Aisee!
 
Tuna kazi..maana kila tunachofanya ni tatizo.Ukiwakataa unaringa..ukiwakubali mrahisi!Ukitaka vijisenti vyao unawachuna..usipotaka unajiona!Ukitulia nao unawaganda..ukiwaacha hujatulia!Tabu tupu!

Nimeipenda hiyo
 
Haka ka yuzifuli sridi leo kanatupa mawazo ya upande wa pili ngoja tuendelee ku eksiploo dataz!
 
 
 

mkuu wako wanawake wanaoangalia what we have lkn c wote,pamoja na hayo hata sisi kuna vigezo vya nje huwa tunaangalia kitu ambacho pia c chema sana!binafsi kabla cjaoa nilikuwa najiskia vzr kumpa tough mpenzi wangu naona niko responsible zaidi.
 
Hiyo chuki uliyonayo kwa wanawake itakutesa maisha! Hata ukipata anayekupenda kweli hutaenjoy maana muda wote utakuwa unawinda makosa yake tu. Badilika KK.
 
kaka vipi leo...maana nimeona thred yako nyingine inasema heri kununua ohio....naona umechukia sana....angalia sana kaka vinginevyo uzee wako utakuwa wa manung'uniko.....mke kama hana mawazo chanya kila siku ni kulalamika basi ujue hapo huna mtu...hakupi challange za maisha...kila siku ni kulalama......jua hapo huna mtu...ukipata pesa yeye kazi yake ni kula tu wala hakuaambii sasa mume wangu tunatunza hii tsh.8 na tunakula tsh 2...kama hakupi mawazo kama haya na anataka kula yote tsh 10 jua hilo garasa.

usipokaa sawa utauza hata hizo suruali....kuanza upya sio ujinga kaka........
 
Nimekusoma mahali wasema nisipo kuchuna utanipa mapenzi nisiopata ona, kuanzia leo ckuombi tena vocha. Lol

Nimesema ikitokea bahati mbaya huna kazi hayo malove na macare mwenyewe utajiona uko mbinguni, nitumie basi vocha ya elfu tano dear
 
KK bana jana umenifurahisha leo unaniudhi kusema wanawake tu wanaume je?? Muone kwanza sura kama nanihiii
Ahaaaaaa umeona tunafanana na naniihiindiyo maana siiachi na maana naipenda!!!nanaihangaikia hiyo nanihii ijiskie sisotenindugu na na nanii!!
 
By nature women look for security and comfort......

Ukibishana na nature utalia...........
 
Kakakiiza mbona threads zako nyingi zinalalamikia wanawake!? Au naonaga vibaya.
 
Hiyo chuki uliyonayo kwa wanawake itakutesa maisha! Hata ukipata anayekupenda kweli hutaenjoy maana muda wote utakuwa unawinda makosa yake tu. Badilika KK.

laiv bila chenga.
 
KK

Hili ni tatizo sana kwa sasa... nadhani chanzo kikuu ni umaskini na increasing demand ya mahitaji muhimu ambayo hayakuwa common zamani

Kumbuka siku hizi mdada anaonekana wa maana akiwa na fully furnished house, anabadili viwalo, vito vya thamani, new hair-do, skin care ya pekee, viatu pairs za kumwaga, kiwanja, gari, nyumba, accessories, diner, fashions etc

Hivi vyote kwa maisha ya kawaida haviwezekani kabisa bila mwanaume pochi - hao wengine = mwanaume suruali, mwanaume sexy wala mwanaume gentleman wanaishia kuwekwa ndani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…