Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

Sio kwamba tumeamka vizuri bali wadada wa jf ni watu wenye hekima na adabu zao hawaangalii mapenzi ni pesa, bali mapenzi ya kweli. Ni hao mnaokutana nao uswazi/mitaani ndio wanaowakaba makoo

Aaaaaah!! maty acha kuniingiza ch kike bhaana cyo wadada wote hapa jf wana hekima na ...... maty nishushe nimeshafika!!
 
"kama utanipenda, hata nikiwa fukara... kama utanipenda hata nikiwa kilema....kama utanipendaaaa....", wimbo mzuri sana huu kaimba yule kaka Mad Ice, yaani ulimwengu huu wa leo, yakikufika ndio utajua ulikuwa waishi na nani!!!, Pole kaka Kiiza ndo malimwengu hayoo!!, Kuwa Uyaone
 
 
Aaaaaah!! maty acha kuniingiza ch kike bhaana cyo wadada wote hapa jf wana hekima na ...... maty nishushe nimeshafika!!

we chwechwe ndoto gani kali hivyo lol, hujafika bado mpaka umalizie ndoto so tulia hivyo hivyo mesikia ee
 
 
 
mapenz ya siku iz ni kama unaenda kuomba kaz maana inakubid uwasilishe cv zako kwanza na cha muhimu sana ni uwe na pesa....ndipo mwanamke atakuambia kwamba i love u dear...
 
Kaka hakuna mapenzi ya leo wala ya zamani, mapenzi ni mapenzi tu. Huyo dada inaonekana hakukupenda wewe bali alipenda ulichonacho. Sio wanawake wote wako hivyo acha kugeneralize. Pole sana Mungu atakupa ubavu wako siku moja na wala hatakusumbua.
 
KakaKiiza anaongea ukweli sana. IF ALMOST wadada wote (almost jamani )wako hivi utasemaje jamaa anaongopa.
Sitashangaa kuona anashambuliwa na haohao wanaomshambulia ndio making maker wa mapenzi dizaini hii.
Kiiza usijali dis unazopewa ila kawaida ukiwa mkweli watu hawakuona hufai flani hivi.


Wakaka nao ndio wanatrade mapenzi yaan mtu bila kukupa lizawadi kubwa hajiamini kuwa anapendwa.utaskia jamaa anasema ngoja nikamate hela nimtokee flani.
 
we chwechwe ndoto gani kali hivyo lol, hujafika bado mpaka umalizie ndoto so tulia hivyo hivyo mesikia ee

dont remaind mi kuhusu hiyo ndoto mana nimeota kidume nimejikaza najifungua mtoto ....nilichokikuta asubuh kitandan ni balaa kumbe wakati nasuma kumbe c mtoto nilikua nasukuma ..... hah!
 
Sasa unajihadhari bila kujitenga na wanawake?Hama dunia ukajifiche ambapo hamna wanawake.Hapa utaishia kunyanyasika maana tupo kila kona!

na ndo maana hata sie tunakuja kuwapeni vichapo sana tukisha waoa maana tunalipa yale mnayotufanyia sisi ..niangaishe tu lakin kwenye ndoa lazima ukipate
 
dont remaind mi kuhusu hiyo ndoto mana nimeota kidume nimejikaza najifungua mtoto ....nilichokikuta asubuh kitandan ni balaa kumbe wakati nasuma kumbe c mtoto nilikua nasukuma ..... hah!

kweli leo umeamka vibaya lol. nimepata kicheko cha kusindikizia usingizi
 

Pole sana KK.

http://www.youtube.com/watch?v=ch7txUjCmiA&feature=fvwrel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…