Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015
Ilikuwa hivyo hivyo chaguzi zilizopita. Hujajifunza tu?
Pia kuna tofauti kati ya wapiga kura na watangaza matokeo, hilo nalo mkumbusheKuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Wengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015
Sio lazima washike dolla ndo ujue, ukiwa una akili sio lazima kujua ka ngombe ataweza kuishi jangwani ama lah!Hakuna ushahidi kama CHADEMA ni dhaifu. Lakini ushahidi uliopo ni kwamba CCM imefeli baada ya kuwa madarakani kwa zaidi ya nusu karne.
Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
Sasa Mbona alipata kura laki 9 2015?Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Kwani nimeathirka?Endelea kujipa matumaini.
Usikute ulichokifanya ni sawa na kuibiwa alafu ukamuuliza mwizi.Wewe uko mioyoni mwa watu hao unaowasema? Jana nilikuwa naongea na baadhi ya watu waliokuwa viwanja vya furahisha Mwanza wananiambia hapakuwa na lolote la maana toka kwa Lissu zaidi ya vijembe tu, kwa kauli hiyo utagundua nini kinachoendelea. so far walizidisha muda wa kampeni na hiyo yote ni kutafuta sababu za kulalamika pindi wakiondolewa kwa nguvu na vyombo vya dola
Hakuwepo na hakuyaona ya 1995; hata hivyo ya 2015 hakuyaona pia? Hao wengi kama walivyosema wengi humu JF, wanakwenda kumshangaa Lissu na hasa anapowaeleza kuwa alipigwa risasi 16! Hapo ndipo mshangao unazidi na "mafuriko" ya washangaaji yanapoonekana.Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.
Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Ni kweli,siyo kigezo lakini ni ishara njema kwamba una wafuasi wengi. Ukifanikiwa kuwashawishi wote wanakuwa upande wako. Kama tume ya uchaguzi ingekuwa huru, Sasa hivi Lowasa ndiye angekuwa anahangaika kuomba kura kwa muhula mwingine.Watu kukushangilia njiani au majukwaani sio kigezo cha kukupigia kura siku ya uchaguzi.