Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Watu tulideki "mabarabara", akina mama walitandika kanga na vitenge ili msafara wa Lowassa upite na matokeo kura hazikutosha! Mleta mada ulikuwa bado mdogo eti?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So hao so called silent majority wako upande wenu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utawajua baada ya uchaguzi kumalizika na ukiwa wa kwanza kujenga hoja ya kuibiwa kura.
 
Mkuu jibu lako haliwezi kubadili ukweli kwamba Kila anaempokea Lissu au Magufuli kwa shangwe ndo atampa kura Mkuu.
Sio kweli kwamba kupokelewa kwa shangwe Ndio uhakika wa mgombea kupata kura.

Kinachofanyika ndani ya kile chumba cha kupigia kura ni siri ya mtu na moyo wake.
 
Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.

Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Hata hivyo kama haki ingetendeka,Mrema angekuwa Raisi wa tatu wa Tanzania. Haki haki haki haki ......
 
Hayo ni maneno apate uongozi, mbona hyo katiba ya Chama haijawaongoza wao wafanikiwe kukijenga chama kimaendeleo, mawazo ata maskini anayo ila utekelezaji ndo shida
Mfano kiwepo kifungu mgombea aweke dhamana ya kukatizwa kuishi, kama hakutimiza Ahadi zake!
Kutajuwa na mgombea tapeli?!
Hii iwekwe kwenye Katiba!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kwamba kupokelewa kwa shangwe Ndio uhakika wa mgombea kupata kura.

Kinachofanyika ndani ya kile chumba cha kupigia kura ni siri ya mtu na moyo wake.

Kinachofanyika ndani ya kile Chumba cha kupigia kura NI wezi wa KURA
Mimi nikiwa mmoja wapo wa kufanya kama Msimamizi wa kituo
CCM bila kura za wizi hakuna ushindi
 
Usidanganywe na umati wa mikutanoni wale watu siku ya uchaguzi huwaoni wakienda kupiga kura.
Jee akitokea mtu akawaaminisha kwamba!
Tumeibiwa kura na shahidi uwingi wetu hivyo walahi hatukubali [emoji109][emoji110]
Manake ujinga nao ni taaluma!
Napahofia sana hapo utafutwe ufumbuzi!
 
Jee akitokea mtu akawaaminisha kwamba!
Tumeibiwa kura na shahidi uwingi wetu hivyo walahi hatukubali [emoji109][emoji110]
Manake ujinga nao ni taaluma!
Napahofia sana hapo utafutwe ufumbuzi!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Yanayotokea sasa ni marudio tu ya miezi ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna jipya.
 
Wanasema kusikia kwa kenge. Ila kilicho wazi safari haitakuwa dua la kuku.

Haki ikikiukwa safari hii itapiganiwa.

Cc: jiwe, na wakupita bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom