Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Vipi 2015 watu hawakuwa serious?Huyu sio sawa na Mrema wa 1995 watu walikuwa wanamshangilia tu,mwaka huu watu wako serious
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi 2015 watu hawakuwa serious?Huyu sio sawa na Mrema wa 1995 watu walikuwa wanamshangilia tu,mwaka huu watu wako serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakuja na kupiga kura na kurudi majumbani.
Kuna wale wanaitwa silent majority huwa hawana kishindo cha kelele za mikutano ya kampeni wanaijua kazi yao.
Muulize Hillary Clinton alichokipata kutoka kwa hao Silent Majority.
Ndiyo maana chadema mkahamasishana msiende kuboresha daftari la kura? Sasa mtampigiaje kura huyo Lissu?Unaukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka Jana?
Je palikua na Haki ?
Ndiyo maana chadema mkahamasishana msiende kuboresha daftari la kura? Sasa mtampigiaje kura huyo Lissu?Unaukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka Jana?
Je palikua na Haki ?
JidanganyeKuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Uwezo wa kuongoza nchi hana kana kwamba anaenda kuibeba mgongoni ama Tena huyu ndio anatakiwa sasa kuliko jana Mungu mbariki Lisu na Taifa kwa ujimlaWengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015
Hesabu zake mbona zipo wazi,na huwa kila msimu wa uchaguzi..hizo hesabu zinakuwaga rahisi tu!..Vipi kuhusu wanaoenda kushangaa wanamuziki....mnapigaje hesabu zenu!
Kwahiyo walio hakiki ni wa CCM tu?Shida inakuja sio wote walienda kuhakiki kwenye daftari la mpiga kura
Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Ila hii kauli kila msimu wa uchaguzi ipo..Huwa najiulizaga sana huko Tz nini kinaendelea?.Tundu Lisu ni mgombea pekee aliye tishio kwa Magufuli, profesa magufuli anatamani lile tukio la Dodoma 2017 lijirudie tena ili akose mpinzani hai.
[emoji28][emoji28][emoji28]kauli cha CUF ngangari ndio zilikuwa zinatenda..sio CDMSawa tunasubiri hao wapiga kura waje waambie! Lakini mkae mkijua siku mkipora kura za Lissu tunaingiza raia barabarani, safari hii hatuibiwe kiboya!
Sijamaanisha hivyo unawaza ujinga.Kwahiyo walio hakiki ni wa CCM tu?
Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.