Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Uchaguzi 2020 Kwa mapokezi makubwa anayoyapata Lissu, chondechonde nawaomba NEC na Vyombo vyote vya Dola

Mapokezi ya Lowasa ni zaidi ya Lissu je alishinda???Makarai wakati wenu wa kutumika huu
 
Mkuu jibu lako haliwezi kubadili ukweli kwamba Kila anaempokea Lissu au Magufuli kwa shangwe ndo atampa kura Mkuu.
Ninachojua kura za Africa na especially Tanzania zimejaa hila na fitina. Si za kweli ,wazi wala haki. Kura zinazosimamiwa na WEO, DED na m/kiti wa NEC . Wote hao ni wateule na waajiriwa wa mmojawapo wa mgombea . KATIBA YETU INA KASORO KUBWA.
 
Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
Alichokisema ndicho anachomaniisha mkuu. Watu wanataka kuishi kwa kufuata utaratibu kanuni na kuishi katika viapo vyao. Kufuata ya fulani mwisho uchaguzi hui. Eti "Si mnajua anayetulipa mishahara, kamchagueni"
Watanzania tujipende na tuwapende watanzania wenzetu, tushindane kwa hoja, walio wengi wapewe na mawazo ya walioshindwa yasidharauliwe. Wote tunaijenga ncho moja kwa faida ya watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo.
 
Ninachojua kura za Africa na especially Tanzania zimejaa hila na fitina. Si za kweli ,wazi wala haki. Kura zinazosimamiwa na WEO, DED na m/kiti wa NEC . Wote hao ni wateule na waajiriwa wa mmojawapo wa mgombea . KATIBA YETU INA KASORO KUBWA.
Point yangu ni kwamba siyo Kila anayemshangilia Magufuli au Lissu ndo atampa kura. This is my fucking point.

Hayo mengine ya hila sijazungumzia hayo actually.
 
Umesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
ana maana ya kwamba ipo siku huko mbeleni wanaweza pindua serikali
 
Kiuhalisia Lissu alishashinda

Sema watafanya rigging kuchakachua

Ndio ninachotegemea Mimi

Uchakachuaji lazima ufanye

Binadamu hawana jema[emoji2]
 
Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria kupiti mifumo thabiti na vyombo tasii zilizojengwa imar. Nchi inayomtegemea mtu mmoja lazima shida iwepo. Lisu amezungumzia suala la katiba na mifimo imara. Hili ndilo muhimu. Hizi sio enzi za mitume

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hayo ni maneno apate uongozi, mbona hyo katiba ya Chama haijawaongoza wao wafanikiwe kukijenga chama kimaendeleo, mawazo ata maskini anayo ila utekelezaji ndo shida
 
Mpaka hapo nimegundua we ni mjinga kiasi gani.

Asa point yangu na kujiunga Ccm wapi na wapi hebu acha kujibu kwa mihemko basi.

You can have degree, PhD still you can be a fool.
I have got neither of those, but still I do advice you join ccm, there is where you belong
 
Back
Top Bottom