Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hakuna alie enda mahakamani. Kwa ajili ya kutaka haki uchaguzi wa serikali za mitaa?Unaukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka Jana?
Je palikua na Haki ?
Utawajua baada ya uchaguzi kumalizika na ukiwa wa kwanza kujenga hoja ya kuibiwa kura.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So hao so called silent majority wako upande wenu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kweli kwamba kupokelewa kwa shangwe Ndio uhakika wa mgombea kupata kura.Mkuu jibu lako haliwezi kubadili ukweli kwamba Kila anaempokea Lissu au Magufuli kwa shangwe ndo atampa kura Mkuu.
Hata hivyo kama haki ingetendeka,Mrema angekuwa Raisi wa tatu wa Tanzania. Haki haki haki haki ......Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.
Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Amina na ndisho Tunacho ombea!Haki itatendeka na JPM atatangazwa kuwa mshindi.
Mfano kiwepo kifungu mgombea aweke dhamana ya kukatizwa kuishi, kama hakutimiza Ahadi zake!Hayo ni maneno apate uongozi, mbona hyo katiba ya Chama haijawaongoza wao wafanikiwe kukijenga chama kimaendeleo, mawazo ata maskini anayo ila utekelezaji ndo shida
Na hakuna la maana alilofanyaMchato miaka 5 inamtosha sana
Wanatetemeka 😀😀Vibaya mno
Sio kweli kwamba kupokelewa kwa shangwe Ndio uhakika wa mgombea kupata kura.
Kinachofanyika ndani ya kile chumba cha kupigia kura ni siri ya mtu na moyo wake.
Endelea kujidanganya mkuu.Kinachofanyika ndani ya kile Chumba cha kupigia kura NI wezi wa KURA
Mimi nikiwa mmoja wapo wa kufanya kama Msimamizi wa kituo
CCM bila kura za wizi hakuna ushindi
Jee akitokea mtu akawaaminisha kwamba!Usidanganywe na umati wa mikutanoni wale watu siku ya uchaguzi huwaoni wakienda kupiga kura.
Kwa hiyo kila siku unaamini ni ijumaa?¿I hope this is wrong comment huh!
Yanayotokea sasa ni marudio tu ya miezi ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna jipya.Jee akitokea mtu akawaaminisha kwamba!
Tumeibiwa kura na shahidi uwingi wetu hivyo walahi hatukubali [emoji109][emoji110]
Manake ujinga nao ni taaluma!
Napahofia sana hapo utafutwe ufumbuzi!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Funguka mkuu!Yanayotokea sasa ni marudio tu ya miezi ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna jipya.
Here we go again!. Out of the topic 😂.
Huyu atatuvusha sio yule wa kupiga kampeni kisukuma na kutugawa WabongoYaani nasisimka kwa raha jamani. Rais mwenye dimpoz zake💕💋😋