Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Sasa kufulia kipesa si ndio kifo chenyewe.Sasa hivi ni wimbo wa "imefulia" ...nilidhani utsema Imekufa...
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kufulia kipesa si ndio kifo chenyewe.Sasa hivi ni wimbo wa "imefulia" ...nilidhani utsema Imekufa...
Hahahaha
Bilioni nane za ruzuku kala mwenyekiti tu Nani awachangie?Watupe number za Mpesa,Tigo, Airltel,Zpesa uone jinsi pesa ya kampeni itakavyopatikana
Mbowe adhubutu kuachia number za malipo aone michango itakavyomiminikaBilioni nane za ruzuku kala mwenyekiti tu Nani awachangie?
CHADEMA ikifulia ndiyo shangwe msihangaike na punyeto gori la mkonoChadema imefulia kwa sasa.
Siku hiyo ipo na inakujaIkija serikali mpya isiyo ya CCM mali zote walizopora au kupata kupitia njia haramu kama majengo, vitega uchumi, viwanja na kumbi zote za Chama Cha Mapinduzi yatataifishwa na kurejeshwa mikononi mwa serikali ya wananchi.
Wabunge wa chadema walichanga vizuri kukichangia chama uchaguzi utakaofuata mwenyekiti kazila zote wanaingia uchaguzi hawana hata Mia akaumti ya chama!! Wezi na matapeli wa ruzuku loooWanatia mpira kwapani
Sasa hivi wamebadilisha wimbo kuwa CdM Imekufa......Kwasasa wimbo wao CDM Imefulia....Sawa tumekusikia,
Kafanye sherehe kufurahia hili.
Zile helikopta na ndege za Wafadhili marafiki wa Mzee Ndesamburo , Dk Slaa na Lowasa hamtaziona Tena kwenye kampeni mwaka huu uchaguzi huu imekula kwenuSawa tumekusikia,
Kafanye sherehe kufurahia hili.
Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na hawana pesa hata ya mafuta ya kumzungusha mgombea wa urais.
Madai kuwa pesa za chama hazijulikani zilipo na madeni juu zimeibuka upya kuhusu kama mwaka 2015 ambapo CHADEMA ilibidi wawapige vikumbo wagombea wa ukawa Professor Lipumba na Dkt. Slaa na kumwangukia Lowassa aliyedhamini campaign ndani ya wiki mbili tu akitokea CCM.
Baada ya dili la membe kuloga ambaye walitegemea atumie alichonacho sasa hali ni tete na hawajui wafanye nini.
My take: Wameshindwa kabla ya kuanza.
USSR
Mkuu mbona Mimi sijakutukana,sasa wewe mbona kunikosea heshima mkuu?CCM chama kubwa duniani itashinda kwa 100% na Chadema 0% .
Wabunge wote ni CCM.
Unakingine unahitaji Wewe Malaya wa kisiasa?
Mkuu hao jamaa wakitangaza leo kuwa wanahitaji mchango wa campaign week moja tu wanapata.Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na hawana pesa hata ya mafuta ya kumzungusha mgombea wa urais.
Madai kuwa pesa za chama hazijulikani zilipo na madeni juu zimeibuka upya kuhusu kama mwaka 2015 ambapo CHADEMA ilibidi wawapige vikumbo wagombea wa ukawa Professor Lipumba na Dkt. Slaa na kumwangukia Lowassa aliyedhamini campaign ndani ya wiki mbili tu akitokea CCM.
Baada ya dili la membe kuloga ambaye walitegemea atumie alichonacho sasa hali ni tete na hawajui wafanye nini.
My take: Wameshindwa kabla ya kuanza.
USSR
Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na hawana pesa hata ya mafuta ya kumzungusha mgombea wa urais.
Madai kuwa pesa za chama hazijulikani zilipo na madeni juu zimeibuka upya kuhusu kama mwaka 2015 ambapo CHADEMA ilibidi wawapige vikumbo wagombea wa ukawa Professor Lipumba na Dkt. Slaa na kumwangukia Lowassa aliyedhamini campaign ndani ya wiki mbili tu akitokea CCM.
Baada ya dili la membe kuloga ambaye walitegemea atumie alichonacho sasa hali ni tete na hawajui wafanye nini.
My take: Wameshindwa kabla ya kuanza.
USSR
Chadema ni wananchi hawaitaji kampeni watajiongeza wenyewe kwa fedha zenu ccm kwa kusikiliza midundo yenu kura Chadema subiri utaonaChadema imefulia kwa sasa.
Tutawachangia wafanye kampeni bila stress za kipesa.
Sema jingine bi mkubwa.!
CHADEMA ikifulia ndiyo shangwe msihangaike na punyeto gori la mkono
Subiria fundraising ipite kipenga kikipulizwaUkisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na hawana pesa hata ya mafuta ya kumzungusha mgombea wa urais.
Madai kuwa pesa za chama hazijulikani zilipo na madeni juu zimeibuka upya kuhusu kama mwaka 2015 ambapo CHADEMA ilibidi wawapige vikumbo wagombea wa ukawa Professor Lipumba na Dkt. Slaa na kumwangukia Lowassa aliyedhamini campaign ndani ya wiki mbili tu akitokea CCM.
Baada ya dili la membe kuloga ambaye walitegemea atumie alichonacho sasa hali ni tete na hawajui wafanye nini.
My take: Wameshindwa kabla ya kuanza.
USSR
Yaani uchangie juu ya kuteswa kwakoMimi ambaye ni wa kawaida kabisa nimejitolea Diesel 10, ooo lts na Petrol 4500 litres ambazo ni mchango wangu wa hali na mali bila kushurutishwa na mtu kwa chama changu CHADEMA.
Niliyezungumza naye alinambia watazifuata nikamwambia nitazipeleka mwenyewe waniambie ni wapi pa kuzifikisha.
Sasa we mamkubwa unakuja na kichuguu kama dondola unadhani cdm wapo peke yao? Lilikuja dude moja kutoka ccm likaniomba kuchangia chochote na likanidanganya eti nitafikiriwa nikamwambia akasubiri nitamjibu akanambia we ni mtumishi hivyo nakutegemea.
Huu utawala umetusumbua sana na manyanyaso kibao halafu leo jitu limetanguliza tumbo eti anaomba kuchangiwa.
Ni bora nichangie cdm ambao hawana pa kuiba kuliko haya madude mengine.
We mleta mada kawaambie hao majangili kwamba siwachangii hata senti moja.