Uchaguzi 2020 Kwa mara nyingine CHADEMA hawana pesa za kampeni kama 2015

Ikija serikali mpya isiyo ya CCM mali zote walizopora au kupata kupitia njia haramu kama majengo, vitega uchumi, viwanja na kumbi zote za Chama Cha Mapinduzi yatataifishwa na kurejeshwa mikononi mwa serikali ya wananchi.
Siku hiyo ipo na inakuja
 
Wanatia mpira kwapani
Wabunge wa chadema walichanga vizuri kukichangia chama uchaguzi utakaofuata mwenyekiti kazila zote wanaingia uchaguzi hawana hata Mia akaumti ya chama!! Wezi na matapeli wa ruzuku looo
 
Hii wiki Kila nkiingia JF sikosi nyuzi 4 had 5 mpya za chadema,
 
Donors don't waste your time and resources to finance opposition parties they are very weak and thieves .They can't win you will waste your tax payers' money.

For example you have been giving money to Chadema the main opposition party in Tanzania they don't have even their.l head office building they rent a very small building that is not worth anything.

When donors come they meet them in hotels not at head office to hide their shame claiming that their head office is still under construction! They are liars send your independent team to confirm this.

If you give them money for election it is at your own risk
 
Sawa tumekusikia,

Kafanye sherehe kufurahia hili.
Zile helikopta na ndege za Wafadhili marafiki wa Mzee Ndesamburo , Dk Slaa na Lowasa hamtaziona Tena kwenye kampeni mwaka huu uchaguzi huu imekula kwenu
 

Kwani Nyerere alipoenda kudai uhuru UNO TANU ilikuwa na mamilioni ya hela?
 
Mkuu hao jamaa wakitangaza leo kuwa wanahitaji mchango wa campaign week moja tu wanapata.
 

Na mbowe anatakiwa kurudisha pesa baada ya takukuru kukamilisha upelelezi,
Nadhamini alaobaki mdhamini labda ni shangazi binti karume tu.
 
Tutawachangia wafanye kampeni bila stress za kipesa.
Sema jingine bi mkubwa.!

Mchango wa elfubili hauwezi kuzungusha helicopter bwashee, sabodo nae alisha kaa pembeni.
 
CHADEMA ikifulia ndiyo shangwe msihangaike na punyeto gori la mkono

Mfateni kibatala ndo amechangia mfirisike
Kila siku anawapa mawazo ya utundu ili asimamie kesi bila ninyi kujua,
Toto tundu hula jeuri yake.
 
Mimi ambaye ni wa kawaida kabisa nimejitolea Diesel 10, ooo lts na Petrol 4500 litres ambazo ni mchango wangu wa hali na mali bila kushurutishwa na mtu kwa chama changu CHADEMA.
Niliyezungumza naye alinambia watazifuata nikamwambia nitazipeleka mwenyewe waniambie ni wapi pa kuzifikisha.

Sasa we mamkubwa unakuja na kichuguu kama dondola unadhani cdm wapo peke yao? Lilikuja dude moja kutoka ccm likaniomba kuchangia chochote na likanidanganya eti nitafikiriwa nikamwambia akasubiri nitamjibu akanambia we ni mtumishi hivyo nakutegemea.

Huu utawala umetusumbua sana na manyanyaso kibao halafu leo jitu limetanguliza tumbo eti anaomba kuchangiwa.
Ni bora nichangie cdm ambao hawana pa kuiba kuliko haya madude mengine.
We mleta mada kawaambie hao majangili kwamba siwachangii hata senti moja.
 
Subiria fundraising ipite kipenga kikipulizwa
 
Yaani uchangie juu ya kuteswa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…