Uchaguzi 2020 Kwa mara nyingine CHADEMA hawana pesa za kampeni kama 2015

Basi hongereni CCM kwa hili,mtapira bila kupingwa,Kila mwanachama wenu atakuwa tajiri, USSR@Bia yetu,Kawe yetu .etl hamnata hangaika tena 7,000/- kwa siku kwa kuwa mtakuwa na fedha za kutosha
ccm ina mtaji wa billion 20+ na wanachama kibao
 
Dhiki inawasumbua sana chadema
 
Njaa imepiga hodi walitumia pesa kuliko kipato chao
Zile helikopta na ndege za Wafadhili marafiki wa Mzee Ndesamburo , Dk Slaa na Lowasa hamtaziona Tena kwenye kampeni mwaka huu uchaguzi huu imekula kwenu
 
Mkuu hao jamaa wakitangaza leo kuwa wanahitaji mchango wa campaign week moja tu wanapata.
Kwani ccm ikitangaza itakosa hivi unjielewa lakini
 
tunahitaji habari zenye ushahidi na sio blabla tu. ili tutoe haki kwa unao walaumu.
 
Jomba usituchekeshe. Si wauze lile trekta lililokamatwa kule Ifakara police station ambayo mwenyekiti Mbowee alichukuwa fedha za uchaguzi za ruzuku kununulia. Waende kumuuliza Mbunge Lijualikali awape mbinu za kupata hayo mahela
 
Weka ushahidi kama bank statment,,,sio unakurupuka na maneno kama mwali wa kizaramo asiefundwa!.. Toa Supportive evidence ,,,hii ni JF sio Facebook
 
basi sawaa
 

Attachments

  • 1878531_tapatalk_1539787111557.jpeg
    115.7 KB · Views: 2
Mkitaka kupima kama CHADEMA ni chama dhaifu, hakina fedha, na hakikubaliki kwa wananchi ruhusuni mikutano ya hadhara ya siasa, msibadili sheria za usimamizi wa kura kwenye vituo, ondoe polisi matumizi ya polisi kwenye uchaguzi, ruhusuni matokeo ya Urais yatangazwe kwenye vituo vya kupigia kura. Ndipo utajua kama CHADEMA hawana pesa za Uchaguzi au vipi.

Mnaogopa CHADEMA mpaka inakera! Iweje chama hakina pesa za kujiendesha halafu mnahangaika kuoketeza ushahidi ili mkifute kisiingie kwenye uchaguzi mkuu?

CCM kimekaa madarakani kwa mabavu tangu 1995 mnaogopa CHADEMA kama kifo!
 
Tumia akili wewe, sio kila mwanamke au mwanaume aliyeachika asemalo kwa mtalaka wake aliyeishi naye zaidi ya miaka 10 wewe kulibinulia mdomo juu kama reference utafi() bure!
"Yule aliyekuwa mume wangu ana kibamia" wewe unatoka kutangaza eti kwa vile kasema? Erevuka kijana, mbona alikuwa naye siku zote na alikuwa anamwita 'sweetie'?
 
TANU kilikuwa chama cha ukombozi,usifananishe na genge la wahuni. Subiri Pccb ifaye kazi mtapata jibu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

Cdm Ni chama cha ukombozi toka kwa mkoloni mweusi. Hao takukuru wanatumika kwenye siasa chafu. Kuna wakati walipelekewa ushahidi wa madiwani Arusha kuhongwa na Mnyeti, wakaishia kutoa majibu ya kisiasa. Hao wanaowatumia takukuru na taasisi nyingine za kimamlaka kufanya siasa chafu, ndio hao hao sasa hivi wanapeleka mswaada wa kutoshitakiwa kwa hizi siasa chafu wanazofanya kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…