The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Noma sanaYes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
🤔Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Inakera Sana acha watu waandamane mioyo iwe safi. Taifa liishi kwa amaniAnafikiri anawakomoa wananchi ili hali anaharibu uchumi wa nchi kwa uroho wa madaraka.
GT
Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba.
Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂.
Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote watasitisha kazi za kiuchumi kisa Samia abaki madarakani? Noooo ni ukenge huu
We unaandika utumbo gani tena hapa ?Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
It sounds like a plan. Vyombo vya dola wakiandamana sisi tuna-chill. Wao wakiacha kuandamana sisi tunaingia road. How sweet!😅Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Inasikitisha sana. Viwanda vingi vimefungwa angalau kuanzia siku 7 hii kiuchumi sio nzuri.Inakera Sana acha watu waandamane mioyo iwe safi. Taifa liishi kwa amani
Ikipigwa standstill ya week nzima namna hii hasara ni kubwa sanaaa!! Na hii ni hatari zaidi ya maandamano.Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Hapa umenena neno la ukweli kabisa,tunaoumia ni sisi watu wa hali ya chini na sio Abdul and companyWe unaandika utumbo gani tena hapa ?
Uchumi wa nchi unamfaidisha na kumuathiri mwananchi mwenyewe hasa maskini.
Uchumi ukiwa bora anaefaidika ni mtu wa chini.
Nakupa mfano .
Leo bandari isipofanya kazi manake mafuta, mbolea , pembejeo, madawa ya mifugo na binaadamu, spare za magari , na vingine vingi sana havitofika nchini,.
Matokeo yake vitaanza kuingizwa kidogo sana toka kenya. Na kila kitu kitapanda bei.
We unadhani hao mafisadi watasikia uchungu wwt kununua nyanya moja buku? Au kununua lita ya mafuta elf 10? Ni wewe na mimi na watanzania wa hali ya chini ndio wataopata dhiki. Sio Samia wala Mwanae Abdul.
Watanzania amkeni mjitambue.
Mtalala mpk lini?
Plan B my black foot
Sure mzee mwenzangu. Mtu una business plan yako ushaanda capital lakini unajikuta unafanya kazi ya kuhailisha kuanza mradi kwa sababu ya political tension. Achia watu watoe vinyongo mioyoni mwao maisha yaendeleeInakera Sana acha watu waandamane mioyo iwe safi. Taifa liishi kwa amani