Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nchi nzima tumejificha kwenye mashimo kama mapanya buku.GT
Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba.
Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂.
Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote watasitisha kazi za kiuchumi kisa Samia abaki madarakani? Noooo ni ukenge huu
Gen Z wamejua kutunyosha kweli kweli