Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Mwashambwa kasema Samia ameshinda
 
Wao wenyewe Wanalalamika wananchi wasikae ndani halafu wakifika nje wanazuia Kwa barriers what is this?
 
Tunasubiri kusikia pesa kiasi gani imechotwa hazina kucrack down watoto wa 2000 against mama mzee
 
We unaandika utumbo gani tena hapa ?

Uchumi wa nchi unamfaidisha na kumuathiri mwananchi mwenyewe hasa maskini.

Uchumi ukiwa bora anaefaidika ni mtu wa chini.
Nakupa mfano .
Leo bandari isipofanya kazi manake mafuta, mbolea , pembejeo, madawa ya mifugo na binaadamu, spare za magari , na vingine vingi sana havitofika nchini,.
Matokeo yake vitaanza kuingizwa kidogo sana toka kenya. Na kila kitu kitapanda bei.
We unadhani hao mafisadi watasikia uchungu wwt kununua nyanya moja buku? Au kununua lita ya mafuta elf 10? Ni wewe na mimi na watanzania wa hali ya chini ndio wataopata dhiki. Sio Samia wala Mwanae Abdul.

Watanzania amkeni mjitambue.
Mtalala mpk lini?
Plan B my black foot
Ujinga huu ufike mwisho, kwani tunasababu gani kufikia hapo? Kwani ni lazima wao waongoze!? Athari hizi ndio zilezile za katiba ambazo mtu mmoja alisema katiba ni kijitabu na inawahusu hao hapo juu ila si mwananchi wa chini, huo uharo ulio andika ndio unaosababisha watu kutekwa hovyo kua kwa kupitia hicho kijitabu watafanya lolote na mtu asiwafanye kitu. Jinsi athari hizi ulizozisema zilivyo ndizo athari zilezile zilivyo kwa upande mwingine. ATAKAE CHEKA MWISHO NDIO ATACHEKA SANA
 
Kwahio solution ni kuchoma nchi na kuvuruga uchumi ili tukose hata dawa za matibabu sio?

Nani mwenye akili timamu anatetea serikali ya wezi?
Lkn je kuharibu nchi pekee tunayoishi ndio solution ya kubadili serikali?

Nimeuliza hapo juu leo Petrol ikifikia lita elf 10 unadhani Abdul Au suluhu au Mwingulu watapata shida ya kununua?
Ni wewe na watanzania wengi maskini ndio wataopata shida ya ajabu

Hamuoni Congo na Sudan Na Libya? Gaddafi kaondoka . Wao wamepata kipi cha maana mpk leo?
Iraq Sadam Hayupo. Wamemuua. Leo nani anataka kwenda Iraq?
Wote hao waliitwa DICTATORS. lkn nchi zao zilikuwa bora kuliko nchi nyingi sana Duniani kimaisha.

Leo sisi Tanzania ni bora kuliko nchi zote zinazo tuzunguka. Mnataka turudi miaka 100 nyuma kisa hamumtaki Samia?
Amkeni watanzania. Tumieni akili za kuzaliwa muone majirani zetu wanavyo teseka na vita .
Sio kila cha kuiga kina faida.
Tena wengi wa hao waandamanaji Hawana kazi . Wavivu na wanywa viroba .
Mtanzania yyt mwenye kupata Rizki yake ya kila siku hawezi kuingia brbrn kuvunja maduka na kuiba
Hao wote ni wezi.
Full stop.
Na watashugulikiwa na Dola mpk wawe na nidhamu au watatangulia akhera kabla ya siku zao.

Hatutaki ujinga tena
 
We unaandika utumbo gani tena hapa ?

Uchumi wa nchi unamfaidisha na kumuathiri mwananchi mwenyewe hasa maskini.

Uchumi ukiwa bora anaefaidika ni mtu wa chini.
Nakupa mfano .
Leo bandari isipofanya kazi manake mafuta, mbolea , pembejeo, madawa ya mifugo na binaadamu, spare za magari , na vingine vingi sana havitofika nchini,.
Matokeo yake vitaanza kuingizwa kidogo sana toka kenya. Na kila kitu kitapanda bei.
We unadhani hao mafisadi watasikia uchungu wwt kununua nyanya moja buku? Au kununua lita ya mafuta elf 10? Ni wewe na mimi na watanzania wa hali ya chini ndio wataopata dhiki. Sio Samia wala Mwanae Abdul.

Watanzania amkeni mjitambue.
Mtalala mpk lini?
Plan B my black foot
Toka hapa wewe mla kitimoto mnaitafuna nchi wenyewe na bandari mmeshauza unaleta longolongo zenu za uwongo hapa
 
GT

Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba.

Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂.

Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote watasitisha kazi za kiuchumi kisa Samia abaki madarakani? Noooo ni ukenge huu
poleni sana
 
Dp world na wawekezaji wengine wapewe msamaha wa kodi kwa mwezi mmoja kutokana na hasara waliyopata
 
Toka hapa wewe mla kitimoto mnaitafuna nchi wenyewe na bandari mmeshauza unaleta longolongo zenu za uwongo hapa
Teh teh teh
Natamani kauli zako ziwe kweli.
Leo ningekuwa ni mmoja wa hao mafisadi hapa JF natafuta nini kujadili na vimburu wa aina yako? 🤣
Ningekuwa mimi ni kama Abdul Saa hii nina wapambe km wewe kazi kuleta chai na kufuta vumbi ya magari yangu tu.

Tatizo mimi pia ni muathirika wa hawa mafisadi. Ila nyie baadhi ya wagalatia hilo hamtoliona manake andiko linasema MMEROGWA na mtu asiejulikana.

Mpk PAULO anauliza kwenye
WaGalatia 3:1-14

Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga

SIKU Tukimjua aliyewaloga huenda tukaenda kuwaombea msamaha.
 
Zile siku chache kuanzia MO29 internet ilivyozimwa imesababisha msongomano wa mizigo bandari. Unaambiwa mwaka huu wafanyakazi walioagiza miti ya krismasi wamekula hasara. Maana mpaka mzigo utoke bandarini ni late january
Jitu choyo linajiwaza lenyewe tu. Sasa waliopata hiyo hasara watakuwa refunded vipi? Kama si kuwaridisha nyuma kiuchumi wananchi.
Nawashangaa sana wanao support huu utawala haramu unaoumiza wananchi.
 
Back
Top Bottom