Kwa mara nyingine tena Rais Samia anaitendea Haki Sekta ya BIMA Ya Afya abuni chanzo kipya cha mapato

Kwa mara nyingine tena Rais Samia anaitendea Haki Sekta ya BIMA Ya Afya abuni chanzo kipya cha mapato

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana.

Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani kuanzisha mfuko wa Dhamana ya Ugonjwa wa UKIMWI.

Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na
Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote169.

Mheshimiwa Spika, mabadiliko ya kisera yanayoendelea duniani yamesababisha wadau
muhimu wa maendeleo kupunguza misaada iliyokuwa inatolewa kwa ajili ya huduma za afya
ikiwemo kukabiliana na kudhibiti magonjwa mbalimbali hususan UKIMWI.

[BOLD]Hivyo, Serikali inapendekeza kuanzisha vyanzo mbadala vya mapato ili kupunguza nakisi ya kibajeti iliyotoka[/BOLD]

Hapo juu ni kipande cha hotuba ya Waziri wa fedha ya bajeti ya mwaka 2025/26.

Hakika Mungu mpe Ulinzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Ninamsikia vyema kwenye ahadi yake hii katika mikutano ya kampeni aliyoanza kuifanya.ninao uhakika
Tuzo ya Bima ya Afya kwa wote utamuangukia siku moja inshallah
 
Back
Top Bottom