Kwa mara ya kwanza christmas nje ya dar

Kwa mara ya kwanza christmas nje ya dar

Indianapolis

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
77
Reaction score
44
Haya sasa christmas nimeambiwa tuende mkoa mi sijawahi kukaa nje ya dar mida kama hii.nitawezaje kukaa mbali na demu wangu wahuni sio watu mara wakamgonga itakuaje sa mkoani hata nikienda ile pasaka hakuna vaibu wala nini wana wanakaa kukuzinga zinga tu mara naomba nguo mara kiatu mara kuna demu anakuzimia shee unaenda kumuangalia demu mchafu tu mi niende mkoa au nibaki dsm?
 
Muulize huyo alikwambia Christmas nje ya dar
 
pia ukitaka kumgonga huyo demu wako urudi hapa tukufundishe style
 
Back
Top Bottom