macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mwezi wa sita na saba linafika 17 c hasa asubuhi na jioni. Kuna wakatililikuwa chini ya hapo, nadhani 15 c26 kawaida sana, Mwezi wa sita nafikiri linafikia hadi nyuzi 18 muda wa alfajiri..wewe hufuatilii tu