Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
- Thread starter
-
- #21
Nipo mjini kwenu kitambo, nipo moja ya sehemu hizo zenye miinuko ila sikuwahi kuona ukungu mwingi namna hii, hivyo nikakumbuka nyumbaniMbona ni karibu kila msimu huu kuna baadhi ya siku huwa hivyo nyakati za asubuhi na mapema, haswa vitongoji vilivyo miinukoni kama Mbezi Mwisho, Goba, Madale, Tegeta Wazo, Mpiji, Kisukuru, Pugu n.k...
Uliniambia Mimi na imekua kweli.Leo Kuna mtu nilimwambia hii mada ya ukungu lazima nitaikuta mitandaoni mtu amepost, na kweli umepost.
Wewe ndio bwana ake?Uliniambia Mimi na imekua kweli.
😎
Hii itakua Dar ya Bukoba.Aisee nimekumbuka nyumbani kwetu, hali ya ukungu ni kawaida.
Leo ni mara yangu ya kwanza kushuhudia ukungu Dar yenu
View attachment 2683535
Sijawahi kufika Bukoba mtaniHii itakua Dar ya Bukoba.
Kuko kama hivoSijawahi kufika Bukoba mtani
Kuna sehemu amesema kua aliyemwambia ni "bwana ake?"Wewe ndio bwana ake?