Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

Kwa mara ya kwanza Dar, nashuhudia ukungu

Mbona ni karibu kila msimu huu kuna baadhi ya siku huwa hivyo nyakati za asubuhi na mapema, haswa vitongoji vilivyo miinukoni kama Mbezi Mwisho, Goba, Madale, Tegeta Wazo, Mpiji, Kisukuru, Pugu n.k...
Nipo mjini kwenu kitambo, nipo moja ya sehemu hizo zenye miinuko ila sikuwahi kuona ukungu mwingi namna hii, hivyo nikakumbuka nyumbani
 
Back
Top Bottom