Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Kwanza nitumie ile hela kwenye namba hii 0765***569, jina litakuja MCHEPUKO MPYA.

Huwezi ukawa unamtumia mganga hela halafu unashindwa kunilipa hela yangu.

Kumbe ule weupe ni kutokana na Whitening skin cream[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Mganga kaingizwa mjini hapa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwakweli hapa rada za Mshana zilimuongopea. Huyu mwananke ni typical mcharuko next level. Ila pengine 'kibuyu cha asali' ndicho kimemtia kabali ndugu etu mpaka anashindwa kujinasua.

-Kaveli-
K mnatooo namkatikia mauno kama yoteeeeee mauno feniiiii
 
Mxewwwwwww nimelewa ujue siwez kukujibu
 
Wewe jaman khaaaa mambo gani si ulisema hutak nikulipe mxeeew
 
Haha ndo maana kila ninapowaza kukuibukia inbobo nawaza haka kabamia changu

Najua sku ya pili nitakupa uzi unanihusu na kapicha kuliko kale ka unco le mutuz
Nimecheka na hivi nimelewaa khaaaaaaa
 
Kuona post yako tu Demiss u have made my weekend aisee, nilishangaa ukimya huu ni wewe au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha rafiki leo nimelewa tilalila nakwambia hasira za kuwa busy na magu week nzima mxeeeew
 
Hapo kweli upo chakari, sio kwa kuquote mara mbili hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo Mwanga bar yani pombe kama zote yan alafu vix kama lote linanisubir njeee woiiii
 
That's why ni mvivu hata kutandika kitanda. Au una shuka moja tu ulilofua?

Wenzako wanajua na kuremba pia, sio kurembua tu.

-Kaveli-
Nimeamua mwenyewe kutoa mashuka yote nipo bar unataka picha ya kabat la room uone lilivyo full mashuka au alafu nilikuwa kwenye process za kukunja nguo na kutandika hayo ni mawazo yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…