Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwanza nitumie ile hela kwenye namba hii 0765***569, jina litakuja MCHEPUKO MPYA.Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?
Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.
Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.
Nyongeza:
Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.
View attachment 868241
Huwezi ukawa unamtumia mganga hela halafu unashindwa kunilipa hela yangu.
Kumbe ule weupe ni kutokana na Whitening skin cream[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Mganga kaingizwa mjini hapa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]