Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

Hahahhaha rafiki leo nimelewa tilalila nakwambia hasira za kuwa busy na magu week nzima mxeeeew
[emoji16][emoji16][emoji16] pole sana mkuu, mpambank uendelee tu hamna namna
 
Mimi naangalia tuu..

Ila najua kuna mtandaoni na uhalisia
 
Mimi kabisa labda utoto ulikuwa unanisumbua au niseme ussta duu eti nihonge mwanaume chaiiiiii naanzaje kwa mfano?

Asikwambie mtu yani unaenda kumdangia mwanaume huna mpango naye alafu anakukopaa inaumaa hiyoo balaaaaa yani unakazana kumkatikia mauno kama yote alafu hupati hata mia.
Mimi toka niwe kwenye mahusiano mbalimbali sjawahi kuhonga ndo nimeanza leoo.



Sasa mwenzenu kama kulogwa hii ni mpya yani LIMBWATA MKOLEO kwa mara ya kwanza nimemtumia hela ya bundle shemeji yenu inabidi mnipongeze kwa mabadiliko hayaaa.


Nyongeza:

Mnaosema mm mzee bitukinao mniache[emoji57][emoji57][emoji57]mm bado binti mbichi chuchu konzi mtoto kama wa jana looh mtoto mwenye usichana wake yani bado nipo kwenye kwenye ishirini na ......... msinizeeshe mxeweew.



View attachment 868241
Ushaanza kuzeeka, so zamani ulikua mti unamwagiwa mbolea na kunyeshewa maji sahv watu wanataka kuchuma matunda, hatumwagilii tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom