Kwa mara ya kwanza Demiss nimehonga mwanaume!

nimezoom nimeona kitu cha OG dr bauer...... haha girls mna matata sana yani $ 66 unajipaka mwilini tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au hii yako haijafika huko Demiss
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata kwann macho yangu yaling'ang'ania hapo kwenye hilo jina [emoji23][emoji23]
Hahahahha ndo zakoo yani umezoom mm zawadi kutoka kwa mungu jina la kipeekeeee
 
nimezoom nimeona kitu cha OG dr bauer...... haha girls mna matata sana yani $ 66 unajipaka mwilini tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hii yako haijafika huko Demiss
Wewe jibu si umepata alafu sasa week tu imeisha kuna mwanaume ataweza hiyo gharama
 
Hahahahha ndo zakoo yani umezoom mm zawadi kutoka kwa mungu jina la kipeekeeee
yeah nice name.... got direct meaning siyo sisi wengine hadi uende kwenye server za wazungu ujue jina lako lina maana gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe jibu si umepata alafu sasa week tu imeisha kuna mwanaume ataweza hiyo gharama
nisiwasemee wengine... ila mimi binafsi siwezi...maybe yangekuwa yana last at least miezi mitatu ningeweza japo kwa mbinde...
na hapo usiniombe tena hela ya perfume wala spray au saloon hadi yaishe πŸ˜‚πŸ˜‚

utetezi wangu mkubwa utakuwa kwan ukipaka nnayopaka mimi utachubuka ngozi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yeah nice name.... got direct meaning siyo sisi wengine hadi uende kwenye server za wazungu ujue jina lako lina maana gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeee yan mm mashalaaah jina lina mvuto na nyota yakeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…