Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kuna buku buku nyingi kuliko wekundu wa msimbazi?
Ndio hivyo waganga wana mbinu nyingi sana kwa wanawake.Jaman kumbee sijawahi tatizo nashangaaa ndo mara ya kwanza
JF huwezi kusoma comment za watu bila kuishia kucheka!![emoji23][emoji23][emoji23]....kwa kweli JF idumu!!Mafuta hayo siyo KY?
Hahahahahahaaa tumia mbinu za delila atakuambia mbinu zote.😎😎😎😎😎😎😎Hahahah hebu nipe siriii
ai weweee!umetuacha tudange peke yetu??? au UMELOGWA!Hahahah nimepunguza kabisaa
Lingine hawa watani zangu wapare wanamapigo ya hatari sana so sishangai wewe kuhongaWaoooh jaman anaonekana huyu niliyemhonga ni mtu mzuri sana kwangu
Hata siogopi mkuu,ila hivyo unavyoandika saba nimependaHahahhaha unataka kurogwaaa