Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bra mwachie kopa!Saaaa sitaaaaaaa no bra
hhhhahaha sisi wengne bra tunazivaa had bafuni!mzigo km wote!dadeqHahahha nimecheka nikiona mdada ananunua mama nibebe mm mbavu sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sikuiona-ila niliikibali ile ya sura na zile nywele(na uhakika mshana hasomi hapa😃😃😃)Na ile ya takooo je?
una raha walah!ila fresh tuHahahahhaha jaman hapo umeongeza chumviii akii mm huwa navaa job tu bra kama siendi akuuu tupa kuleee
hayawezi haya!its too late...Uanze mazoezi ya kuyasimamishaaa
Naamini utalifanyia kazi ombi languHuwa anasoma kimya kimyaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sana...Bra za chuma ndo zitafanya kazi sema huwa zikiharibika zinachomaaa hatareeee
Nyuzi tisini hiyo,Saaaa sitaaaaaaa no bra