Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Nani anabaguliwa? Mimi mmatengo wa Ruvuma nabaguliwaje?

Unajua kuwa Wazanzibari ni Watanzania? Ni shida mtanzania anayetokea Zanzibar kuwa waziri?

..Katiba na Sheria inakataza Mzenj kuwa waziri ktk wizara isiyo ya muungano kama ilivyo kwa Prof.Mbarawa.

..Katiba inaruhusu Mzenj kuwa Waziri ktk wizara za muungano kama wizara ya fedha, mambo ya ndani,..
 
..Katiba na Sheria inakataza Mzenj kuwa waziri ktk wizara isiyo ya muungano kama ilivyo kwa Prof.Mbarawa.

..Katiba inaruhusu Mzenj kuwa Waziri ktk wizara za muungano kama wizara ya fedha, mambo ya ndani,..
Ibara ipi ya Katiba inasema ivyo?
 
..mbona Husseni hateuwi mbunge wa Rufiji, Kilombero, ... kuwa Waziri ktk SMZ?

..Wazanzibari acheni dhuluma na ubaguzi.
Hussein Mwenda ni mteule wa Rais wa Zanzibar na anahudumu serikali ya mapinduzi zanzibar. Unajua katokea wapi?
 
Hii spinning yako ni ya kitoto......umeandika ushabiki tu
 
Usituambukize ujinga.

Tanzania Si wajinga.
 
umejaribu kuelewesha hadi haulewi,hizi tunaita propaganda nyeusi.
 
nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba rais samia et anaipenda sana tanganyika kuliko zanzibar. maana mkataba ungekuwa mzuri lazma angeanza na bandari za zanzibar
 
nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba rais samia et anaipenda sanza tanganyika kuliko zanzibar. maana mkataba ungekuwa mzuri lazma angeanza na bandari za zanzibar
Endelea kuwa wa mwisho kuamini hivyo
 
Propaganda za kitoto. Tukajipange upya Komredi. Inabidi tufanya propaganda za kisomi wapinzani wasije wakatudharau. Hii unakumbuka nilikataa mapema kuwa ni propaganda haina mashiko siku ile tunaelekezwa? Sasa wewe umepost bila hata kutushirikisha wenzio tushauriane na tujue namna ya kukusupport. Usiwe na haraka sana komredi watanzania wa sasa si kama wa zamani.
 
Hakunaga propaganda mkuu. Nipo humu siku nyingi. Mimi sio mtu wa propaganda

Ni vizuri ukasema kipi kilichosemwa hapo ni cha uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…