Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Hilo. Sahihi
Swali ni hili.
Jirani naye ameuza bandari kwa Waarabu au anaiendesha mwenyewe kwa tija?

..Muarabu anataka bandari zote za ukanda wa mashariki ya Afrika kuanzia Djibout, Eritrea, Somalia, Kenya, Tanzania, Msumbiji.

..
 
1. Haya makubaliano ya sasa yanaitwa IGA, suala la ukomo wa muda yatawekwa kwenye HGA

2. Nani kakwambia mkatab hauvunjwi? Mkataba una kipengele cha Disputes Settlement unasemaje hauvunjwi?

3. Bandari za Zanzibar zishushe zinashusha mzigo kupeleka nchi gani? Ziko strategic kiuchumi kwa Tanzania?
.
4. Hii ni propaganda mfu. Viongozi wote ni watanzania. Kwa nini kwenye kumalizia ujenzi wa miradi ya kitaifa huulizi kama ni Wazanzibar?
Umewaeleza vizuri, huku kuna makundi mawili kuna kundi halitakubali kuelewa makusudi kwa sababu zao, wengine wanaburuzwa tu ila walaumu uvivu wao wa kutotaka kujishughulisha kutafuta ukweli. Vile vile wajue kuna sheria inayoongoza nchi yetu, shida watu ni wavivu ndio maana ni watupu kichwani. Sheria inasema TPA itasimamia bandari za Tanzania bara tu, bandari za Zanzibar zitasimamiwa na taasisi yao, hata hivyo tumeambiwa Zanzibar tayari imeshakodisha bandari yake kwa DP World wanataja Zanzibar ipi tena? Kweli kuna watu ndio maana walifeli shule pamoja na viboko vyote waliyochapwa. Kila kitu kinafanywa kwa mujibu wa sheria. Kwa mfano Zanzibar ina mamlaka yake ya ukusanyaji kodi ZRA, sisi tuna TRA.
 
Umewahi kusikia nchi iliyouza bandari yake? Kwanza nani ananunu bandari? We kweli zwazwa
mimi nimeandika, sijatukana. Wewe umeona unitukane kwa maoni yangu.
Zwazwa mama yako na baba yako mk..nd wewe.
 
Umewaeleza vizuri, huku kuna makundi mawili kuna kundi halitakubali kuelewa makusudi kwa sababu zao, wengine wanaburuzwa tu ila walaumu uvivu wao wa kutotaka kujishughulisha kutafuta ukweli. Vile vile wajue kuna sheria inayoongoza nchi yetu, shida watu ni wavivu ndio maana ni watupu kichwani. Sheria inasema TPA itasimamia bandari za Tanzania bara tu, bandari za Zanzibar zitasimamiwa na taasisi yao, hata hivyo tumeambiwa Zanzibar tayari imeshakodisha bandari yake kwa DP World wanataja Zanzibar ipi tena? Kweli kuna watu ndio maana walifeli shule pamoja na viboko vyote waliyochapwa. Kila kitu kinafanywa kwa mujibu wa sheria. Kwa mfano Zanzibar ina mamlaka yake ya ukusanyaji kodi ZRA, sisi tuna TRA.

..kama Zanzibar ina mamlaka yake ya bandari, kwanini Makame Mbarawa anatuingilia ktk uendeshaji wa bandari za Tanganyika?
 
Amekuingiliaje? Ndo wakenya wamekufundisha kusema ivyo?
 
..Prof hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi.

..wizara hiyo sio ya muungano, ni wizara inayohusu mambo yetu Watanganyika.

..kosa hilo alilifanya Magufuli, na sasa Samia amelirudia.

..Wazanzibar wanapaswa kuteuliwa ktk wizara za muungano kama Fedha, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani.

..kuna wanaidai bandari ni suala la muungano lakini wanasahau kwamba Zanzibar ilikataa bandari zake kuwa chini ya muungano na kuunda mamlaka yao ya bandari. Pia sheria ya kuunda TPA imeelekeza kuwa ni ya Tanganyika peke yake.
 
Kumbe una shida na Wazanzibari sio?

Kama shida yako ni uzanzibari Je una tofauti na makabulu?
 
..Sina shida na Wazanzibari.

..Nilichosisitiza mimi ni Katiba na Sheria zetu zilindwe.

..Makubaliano ya muungano yaheshimiwe.

..Tatizo lenu mkishindwa hoja mnakijificha kwenye kudai mnabaguliwa.
 
Nani anabaguliwa? Mimi mmatengo wa Ruvuma nabaguliwaje?

Unajua kuwa Wazanzibari ni Watanzania? Ni shida mtanzania anayetokea Zanzibar kuwa waziri?
 
Back
Top Bottom