Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Usisumbuke hawa jamaa akili kisoda, biashara bila ushindani ni ujinga mkubwa, halafu walivo wapuuzi matatizo yatokee nchini kwako ukaanze kusingizia nchi jirani huo ni upuuzi uliopitiliza
Kwani wao wanahudumia Zambia?
Wanawapenda sana ndio maana wanaongea
 
Uko macho kwa kumpa mwarabu. 🤣🤣🤣🤣 Unawashambuliwa wakenya cause wanachati kiswahili au kiingereza unaelewa. Congo Mumbiji na kwingine hujui chochote. Hadi wahindi wanacheka
Sawa basi. Mwingereza nae ni kipofu kumpa mwarabu kuendesha bandari ya Southampton
 
Kuna maswali mmeulizwa mara nyingi ila hamtoi majibu..

1. Kwanini mkataba huo wa kukodisha bandari hauna kikomo cha muda, yaani ni wa milele?

2. Kwanini mkataba huo hauwezi kuvunjwa hata kama wawekezaji watathibitika kukosa uwezo?

3. Kwanini bandari za Zanzibar hazihusiki kwenye huo mkataba, bali ni bandari zoote za Tanganyika pekee?

4. Kwanini wahusika wote wakuu wa mkataba ni Wazanzibar?
Naunga mkono hoja
 
Kwani wao wanahudumia Zambia?
Wanawapenda sana ndio maana wanaongea

Biashara ilitakiwa isijifunge, kuruhusu monopolisation kwenye biashara ya bandari ni ujinga wa viongozi wa ccm usiomithirika kabisa, na lazima waelezwe ukweli kua hawajatumia akili kwenye huo mkataba
 
Jirani anatapa tapa!!

Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.

Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!

Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.

Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu

Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Kwa hiyo mkaamu bora kubutua mpira nje ukadondokee uarabuni?
 
1. Haya makubaliano ya sasa yanaitwa IGA, suala la ukomo wa muda yatawekwa kwenye HGA

2. Nani kakwambia mkatab hauvunjwi? Mkataba una kipengele cha Disputes Settlement unasemaje hauvunjwi?

3. Bandari za Zanzibar zishushe zinashusha mzigo kupeleka nchi gani? Ziko strategic kiuchumi kwa Tanzania?
.
4. Hii ni propaganda mfu. Viongozi wote ni watanzania. Kwa nini kwenye kumalizia ujenzi wa miradi ya kitaifa huulizi kama ni Wazanzibar?
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..
 
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..
 
Mmeulizwa kwa nini bandari za zanzibar hazihusiki mnakimbilia ooohh ubaguzi halafu hamjibu maswali haya mkataba ni wa muda gani miaka 10 , 20 au 30 ? Hamjibu yaani mnatuona sote wajinga wenzenu yani kama mlovowajinga mnahisi kila mtu ni mjinga? Shame on you makubwa jinga msiojielewa
 
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..

Tuna uzoefu wa mikataba ya kipuuzi ya hawa jamaa anzia Epa, IPTL, migodini huko, mtwara kwenye gesi wanashangiliaga hivihivi baadae ukiwauliza wanakua hawana majibu
 
Watanzania walishaona kwa Epa, Iptl, Net group Richmond nk. Mikataba ilipitishwa kwa makofi mengi..mwishowe ilijulikana kuwa hovyo kabisa..
Epa ni mkataba kwani? Na ilipitishwa wapi? Na Bunge gani? Unajua hata maana ya Epa?

Iptl ilipitishwa na Bunge gani? Richmond ilipitishwa na Bunge gani?
 
Tuna uzoefu wa mikataba ya kipuuzi ya hawa jamaa anzia Epa, IPTL, migodini huko, mtwara kwenye gesi wanashangiliaga hivihivi baadae ukiwauliza wanakua hawana majibu
Ulivyosema epa ni mkataba tu nimeona wewe ni zumbukuku
 
CCM wana sera za kijamaa hawaujui ubepari ndio maana wanagawa rasilimali zetu burebure bila aibu maana wao hawajui ulimwengu wa kibepari unamaanisha nini na kamwe nchi haitonufaika kwa kubinafsisha vitu hiyo haitokuja kutokea kamwe
 
Ulivyosema epa ni mkataba tu nimeona wewe ni zumbukuku

Wewe ndezi hayo ni baadhi ya upuuzi uliofanywa na bado ukaacha machungu na maumivu kwa wananchi, ni ubinafsishaji gani serikali ya ccm iliwahi kufanya ikawa na matunda mazuri kwa nchi jibu ni hakuna hivo bora rasilimali mziache tu ziwepo
 
CCM wana sera za kijamaa hawaujui ubepari ndio maana wanagawa rasilimali zetu burebure bila aibu maana wao hawajui ulimwengu wa kibepari unamaanisha nini na kamwe nchi haitonufaika kwa kubinafsisha vitu hiyo haitokuja kutokea kamwe
Unajua NMB inaendeshwaje? Unajua kabla ya kubinafsishwa ilikuwa na hali gani?

Unajua kiwanda cha Bakhresa Tazara/ Buguruni kabla ya kubinafsishwa kilikuwa cha Serikali? Huoni ufanisi wake?

Umewahi panda treni ya kwenda kigoma inayoendeshwa na Serikali? Usafiri wake ukoje? Inaendeshwa kwa ufanisi?
 
Endlea kudanganya watu hapa JF.

Unapoteza muda wako bure tu hapa kutetea watu ambao hata hawajui if you exist.
Kwani kumbe hapa kazi yenu ni kutetea watu?
Mimi sitetei mtu ila natetea maendeleo ya kweli ya Tanzania
 
Kwani kumbe hapa kazi yenu ni kutetea watu?
Mimi sitetei mtu ila natetea maendeleo ya kweli ya Tanzania
Sasa wewe mjinga kuuza bandari ndio maendeleo.

Una akili ndogo mno ndio maana huwezi tofautisha kati ya kuibiwa na maendeleo?

Pumbavu kabisa.

Kumpa mgeni lango kuu la uchumi milele ni maendeleo??

Njaa tu zimepiga ubongo wako unadhani kusifia ujinga kutakutoa kimaisha.

Idiot.
 
Back
Top Bottom