Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni speculations tu..DP anataka bandari zote kuanzia Djibout, Eritrea, Somali, Kenya, Tanzania, Msumbiji.
..Makubaliano kati ya Tanzania na DP hayazuii Kenya nao kuingia makubaliano na DP.
..Naona kuna propaganda za kila aina dhidi ya yeyote anayeonyesha mashaka na mkataba kati ya Tanzania na DP.
..Mwanzo kulikuwa na shutuma kwamba kila anayeupinga ni mdini na mbaguzi.
..Sasa naona mmekuja kivingine kwamba wanaopinga mkataba wanatumiwa na Wakenya.
Mimi ni mwerevuWewe ni lijinga
Mnaendeleaje hapo Nairobi?Kitukuu cha Mangung'o hichi.
Mkataba wetu una upumbavu gani?Uwe unawahi kwenda nyumbani ufanye masahihisho na kazi za nyumbani na watoto wako kuliko kukaa bar muda wote.
Hao Kenya waliboresha bandari zao kwa mkataba wa kipumbavu km wa hapo Salama?
(Hakuna wa kujitoa) ili iweje?
Km nimemsikia kiongozi wa Bunge DHAIFU akisema siku ile walikuwa wanaigiza,hawakupitisha pendekezo hilo,au na wewe unasemaje?
Za Mwanza au chato ndugu?Hamna kitu hapo, ni robot hilo.
Kweli hii ni Tanzania. Sikutarajia mbinu hii kuwepoJirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Safi Sana! Uwekezaji ni jambo zuri! Ila vipi kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye mkataba ambayo kwa kiasi kikubwa yanaturudisha utumwani? Hiyo ndio hoja inayopaswa kujibiwa! Huyo jirani yupo tu siku zote!Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Pumba ziko wapi?Ulianza hoja kujenga vizuri Mara pa ukaingizi pumba ndio hoja yako ilipovurugika...
Mikataba yote inayoingizwa inazingatia maslahi mapana ya Taifa na italinufaisha sana Taifa kwa kiwango kikubwa sanaSafi Sana! Uwekezaji ni jambo zuri! Ila vipi kuhusu mapungufu yaliyopo kwenye mkataba ambayo kwa kiasi kikubwa yanaturudisha utumwani? Hiyo ndio hoja inayopaswa kujibiwa! Huyo jirani yupo tu siku zote!
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Huu ndo ukweli wenyewe. Hakuna mbinu hapaKweli hii ni Tanzania. Sikutarajia mbinu hii kuwepo
Lord Denning ni mwanamke au mwanaume?Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
Huna hiyo 1.Nina Div 1 ya 14 kutoka Don Bosco Seminary. Una lingie.
binafsi mimi nazielewa sana jitihada za mama za kutuletea maendeleoJirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.
Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!
Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.
Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu
Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Shida iko wapi?
Endelea kuomboleza ndugu. Mimi sio levels zako.Huna hiyo 1.
Una diiiv three makongo secondary.
Na gpa ya .... Ruco university.