Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Yaani Vilaza wa kwenye matokeo darasani wamekaa wakachukuana Vilaza bungeni wakawapeleka Dubai. Hebu kila mtu anayeshabikia mkataba huu mkataba aje na cheti cha form chenye division one.
Nina Div 1 ya 14 kutoka Don Bosco Seminary. Una lingine?
 
Jirani anatapa tapa!!

Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi , huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.

Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!

Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.

Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu

Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Ujinga
 
..DP World wanataka ku-operate bandari zote za Afrika Mashariki mpaka Congo Drc.

Inside UAE’s plan to control African ports business through DP World​

Baada ya DP World kufanikiwa kuingia Makubaliano na Tanzania, Kenya amechanganyikiwa sana.
 
Kama huna la maana la kusema si ufunge bakuli lako mwanangu. Kumbaff kabisa. Unatetea ufisadi na ukumbaff au umetumwa au ni mnufaikaji na dili hili la kimalaya kisiasa?
Ufisadi gani umetetewa hapa?

Endelea na ujinga wako tu. Tanzania haijalala na hatalala tena. Waambie wenzako the sleeping giant ameamka
 
HUYO JIRANI YUPO KARIBU SANA NA CHAMA FULANI NA WAMEAPIZANA KAZI YAO IWE MOJA TU, SABOTAGE BY ANY MEAN, NINA MASHAKA HATA HUTO TO MAANDAMANO TUNARATIBIWA NA WAO KISIRISIRI.
 
HUYO JIRANI YUPO KARIBU SANA NA CHAMA FULANI NA WAMEAPIZANA KAZI YAO IWE MOJA TU, SABOTAGE BY ANY MEAN, NINA MASHAKA HATA HUTO TO MAANDAMANO TUNARATIBIWA NA WAO KISIRISIRI.
Hiyo ndo imekuwa mipango ya huyu jirani kwa miaka mingi. Ku sabotage jitihada zozote za Tanzania katik kujikwamua kiuchumi ili aendelee kuwa juu yake!
 
Ulichoandika ni utopolo mtupu,watz hawana uwezo wa kucompet na wakenya ktk nyanja zote.
Wale ni full capitalist kitambo tu,Kama tu sisi tunalima parachichi wao ndo exporter,sisi tunalima mahindi na vitunguu wao ndio wajanja wa masoko ya sudani na nje
 
Wafikishie salamu
Waliyokuwa wanafanya gizani ili kutufanya tuendelee kuwa chini yao sasa yanafahamika na tumeamka kweli.

Miaka 5 mingi sana lazima waisome namba.
 
images (2).jpeg
 
Mleta mada hawa ndio division one ndani ya CCM, hawajitambui unazungumzia kenya wkati kwako kuna shida lukuki hujitambui na ndio maana divisio five wamejaa kwenye ofisi za nchi hii
 
Baada ya DP World kufanikiwa kuingia Makubaliano na Tanzania, Kenya amechanganyikiwa sana.

..DP anataka bandari zote kuanzia Djibout, Eritrea, Somali, Kenya, Tanzania, Msumbiji.

..Makubaliano kati ya Tanzania na DP hayazuii Kenya nao kuingia makubaliano na DP.

..Naona kuna propaganda za kila aina dhidi ya yeyote anayeonyesha mashaka na mkataba kati ya Tanzania na DP.

..Mwanzo kulikuwa na shutuma kwamba kila anayeupinga ni mdini na mbaguzi.

..Sasa naona mmekuja kivingine kwamba wanaopinga mkataba wanatumiwa na Wakenya.
 
Jirani anatapa tapa!!

Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili kuzimaliza kabisa bandari za Tanzania sasa amekosa raha baaada ya kusikia Tanzania ameamka na anaboresha bandari zake kwa kiwango cha kimataifa.

Ikumbukwe jirani huyu alikuwa akifadika sana na ukiritimba uliokuwepo katika bandari za Tanzania uliofanya mizigo ichelewe kutoka na meli kuchelewa kushusha bandari jambo lililopelekea wateja wengi kukimbilia katika Bandari yake ya Mombasa!!

Taarifa zaidi zinasema jirani huyu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitumia mwanya wa siasa za Tanzania kupenyeza propaganda kii telejensia ili kufelisha mipango kabambe ya kiuchumi ya Tanzania ikiwemo ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Mji wa kisasa kigamboni, uwekezaji wa treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam ili aendelee kutawala Afrika Mashariki kiuchumi sasa anatapatapa baada ya majasusi wa Tanzania kufanikiwa kukwamisha jitihada zake za kukwamisha makubaliano baina ya Dubai na Tanzania kuhusu Bandari na mkataba husika kupitishwa na Bunge la Tanzania.

Taarifa zaidi zinadai kuwa, Jirani sasa amewekeza sana katika chama fulani cha siasa ambacho kwa muda amekuwa akikifadhili na kuwafadhili wanasiasa na wanachama wake ikiwemo kimatibabu na hata kuwatoroshea kwake pale walipokumbwa na shida nchini Tanzania katika kuhakikisha kinafanya maandamano nchini Tanzania na kuleta pressure kwa wananchi ili serikali ya Tanzania isitekeleze makubaliano na kuingia rasmi mkataba na kampuni ya Dp World ili kuendeleza Bandari zake kwa kuwa anajua endapo Tanzania itafanikiwa kuingia makubaliano na DP World basi ndo itakuwa mwisho wa Bandari zake za Mombasa na Lamu

Hongereni TISS kwa kufanikiwa kuzima hili jaribio la nchi jirani. Sasa mko vizuri katika ujasusi wa kiuchumi.
Uwe unawahi kwenda nyumbani ufanye masahihisho na kazi za nyumbani na watoto wako kuliko kukaa bar muda wote.

Hao Kenya waliboresha bandari zao kwa mkataba wa kipumbavu km wa hapo Salama?
(Hakuna wa kujitoa) ili iweje?

Km nimemsikia kiongozi wa Bunge DHAIFU akisema siku ile walikuwa wanaigiza,hawakupitisha pendekezo hilo,au na wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom