Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

Hawezi kurudi hapa
 
Uongo mtupu !
 
1. Haya makubaliano ya sasa yanaitwa IGA, suala la ukomo wa muda yatawekwa kwenye HGA

2. Nani kakwambia mkatab hauvunjwi? Mkataba una kipengele cha Disputes Settlement unasemaje hauvunjwi?

3. Bandari za Zanzibar zishushe zinashusha mzigo kupeleka nchi gani? Ziko strategic kiuchumi kwa Tanzania?
.
4. Hii ni propaganda mfu. Viongozi wote ni watanzania. Kwa nini kwenye kumalizia ujenzi wa miradi ya kitaifa huulizi kama ni Wazanzibar?
 
Uchawi kitu kibaya sana kiasi cha kukufanya hata usome vipi huwezi kuwa tofauti na washenzi.
 
Uchawi kitu kibaya sana kiasi cha kukufanya hata usome vipi huwezi kuwa tofauti na washenzi.
Najua sindano imegusa mfupa. Vumilieni tu. Dawa ni chungu ila hakuna namna
 
Soma mkataba kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…